Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Safi sana kwa maelezo mazuri, kuna gym nilianzia kipindi naanza tizi nikipigishwa vyumaa maninaaa as if ni pro kesho kutwa yake mikono imevimba na mwili kama sio wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina formula, nilikua nakula kawaida tu kwa kuzingatia protin, wanga etc.

What matters ni mazoezi.
Hapana. Wataalamu wanasema mazoezi ni 20% tu na utaratibu wako wa kula ni 80%. Kama unafakamia macalories mengi kuliko unayounguza hata uwe unalala gym hakuna uzito utakaopoteza. Mazoezi na utaratibu mzuri wa chakula ni lazima viendane sawa.
 
maelezo yako mazuri sana, kinachitakiwa ni kuyafuata na kutekeleza, pale tutakapokuwa tuna kwama tutakuuliza
 
Hapana. Wataalamu wanasema mazoezi ni 20% tu na utaratibu wako wa kula ni 80%. Kama unafakamia macalories mengi kuliko unayounguza hata uwe unalala gym hakuna uzito utakaopoteza. Mazoezi na utaratibu mzuri wa chakula ni lazima viendane sawa.
Chief niamini mimi. What matters ni mazoezi, mazoezi ya mtindo wa hardcore hata kama unashindia wanga kila muda hardcore exercises itakuweka sehemu poa sana.
 
Hapana. Wataalamu wanasema mazoezi ni 20% tu na utaratibu wako wa kula ni 80%. Kama unafakamia macalories mengi kuliko unayounguza hata uwe unalala gym hakuna uzito utakaopoteza. Mazoezi na utaratibu mzuri wa chakula ni lazima viendane sawa.
Hapa ni mimi nikiwa nasoma. Nahisi unajua namna mwanafunzi anavyokula, anakua hana format ya nini kije au nini kisije..

Je kwenye kwa haya matizi naweza kujaza kabisaa bila kugusa gym..
Nna siku ya tano toka nianze nahisi kama kuzoea hivi je nipumzike au niendelee??
 
Safi kabisa..
Ila bado naamini kuna mazoezi yale ya kupalilia, kufyeka, kulima, bustani, ufugaji, kufua nguo zako mwenyewe, kusaidia usafi wa boma lako, kukata fence n.k n.k. kwamba ni mazoezi tosha yanayokupa na yatajenga mwili wako vizuri tu kama ukiyafanya...Ni bora nguvu zako zitumike huko kuliko kupiga ma push ups yasiyosaidia familia...
 
Je kwenye kwa haya matizi naweza kujaza kabisaa bila kugusa gym..
Nna siku ya tano toka nianze nahisi kama kuzoea hivi je nipumzike au niendelee??
Umefanya mazoezi gani kwa siku tano?
 
mm huwa push up zangu nazipiga wakati nagegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…