luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
habari zenu wakuu,
Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa
dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko
humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.
i) wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji
mengi kila baada ya kwenda chooni.
ii) jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na
mchana.
iii) kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri
ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha
vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.
iv) usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.
v) mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.
fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika
sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka
huko.
ni rahisi sana dada zangu si mnaona!
mbona haya yoteeee kawaida sana? sion jipya