Jinsi ya kusafisha uke

Jinsi ya kusafisha uke

Sabuni haifai wala ile dizaini ya kupitisha kidole unasugua humo ndani pia haifai na ukitumia njia hizo za sabuni na kujizamisha vidole unajitengenezea mazingira ya kujiletea saratani. Uke unaoshwa kwa maji mengi na ya baridi na unaiosha kama unavyonawa uso kwa nje tuu maana hata hiyo harufu haikai ndani. Uke ndani unajiosha wenyewe na vile juma akipita tena baasi yatosha na ndio maana hata ukimuona dkt ukiwa na shida huko kama wkt wa kujifungua nk wanavaa gloves ni kwaa ajili ya kukinga huko pahali hapaitaji madole yenu wkt mwingne makucha marefu ama yamejaa uchafu unajizana/unazamishwa. Kinachozama ukeni ni MBOO only hata ile tabia ya nyie w/ke kuachia dume zenu ziwapitshe vidole kuwapekenyua si safi wala salama kiafya.
 
....madogo yana nafuu.
Maana siku hizi kitchen party zinatolewa mpaka na wanaume.

Sisi Wanaume ndio watumiaji wakuu wa hizo nYuChI,tunayoyasema tunayaona maana NyUchi nyingine ingebidi zisafishwe hata na JIK.
 
....madogo yana nafuu.
Maana siku hizi kitchen party zinatolewa mpaka na wanaume.

Sisi Wanaume ndio watumiaji wakuu wa hizo nYuChI,tunayoyasema tunayaona maana NyUchi nyingine ingebidi zisafishwe hata na JIK maana.
 
Wewe kama mwanaume una mamlaka gani ya kutoa nasaha za namna wanawake wanavyopaswa kusafisha vitumbua vyao?

Watu wengine bana!

Nyani Ngabu vipi mkuu?

Mbona unapambana na 'consumer'? alias mlaji kha!
 
Maelezo meeengi, kitu visual bhana! Weka picture mkuu, we vipi!
 
Habari zenu wakuu.

Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.

i) Wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.

ii) Jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.

iii) Kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.

iv) Usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.

v) Mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.

Fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.

Ni rahisi sana dada zangu si mnaona.

acha upotoshaji huna utaalamu wowote. mahitaji uliotaja ni maji tuu umepatia.
 
anza kwanza kueleza jinsi unavyosafisha pumbu zako
 
mtoa uzi unahitaji elimu sana sana ya gynaecology, bora ubadilishe heading na kuandika NAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUSAFISHA UKE.
 
watu wengine sijui wakoje! " kujitia vidole au sabuni ukeni haifai" nani amekwambia ujitie vidole au uingize sabuni ndani kabisa ya uke?! nimewaambia mnatakiwa kuosha na sabuni hiyo area ambayo ipo around na vagina na sio kuingiza sabuni ukeni! kwa sababu humo ndani inajisafisha wenyewe with natural vaginal secretions.

kama hauna uwezo wa kununua hizo sabuni ambazo ni special kwa kazi hiyo basi unaweza kutumia hata sabuni zisizokuwa na manukato.
halafu nimesahauu kuwaelewesha kitu kingine wakati wa kujiswafi anza kwanza na uke kisha ujiswafi na nyuma panapotoka haja kubwa.

sasa we kama unaona unadanganywa kaa na harufu/uchafu wako mana wengine naona hamtaki kufundishika!
 
Maelezo meeengi, kitu visual bhana! Weka picture mkuu, we vipi!

mkuu we female au male? kama ni female kweli hujui umbile lako likoje mpaka unataka picha??? kama ni male subiri ukue dogo utaiona kabisa bila chenga na sio picha unayotaka hapa!
 
Weka picha bhana, maneno meengi! Ukue ukue...

mkuu we female au male? kama ni female kweli hujui umbile lako likoje mpaka unataka picha??? kama ni male subiri ukue dogo utaiona kabisa bila chenga na sio picha unayotaka hapa!
 
Kama sabuni inakupa fangasi safisha kwa maji mengi pia hakikisha kidole cha mkono wa kushoto kile kilefu cha kati kinaingia ndani kabisa ukikitoa kinuse kama bado kinaharufu kisafishe kisha kiludishe kikafanye usafi pakiwa safi utaona mwenyewe ukikitoa hakina hata harufu. Tahazari kisiwe na kuchwa kwa mimi nikikuona uko na kucha ndefu vidore vyote %80 wewe unatoa harufu (mchafu)
 
watu wengine sijui wakoje! " kujitia vidole au sabuni ukeni haifai" nani amekwambia ujitie vidole au uingize sabuni ndani kabisa ya uke?! nimewaambia mnatakiwa kuosha na sabuni hiyo area ambayo ipo around na vagina na sio kuingiza sabuni ukeni! kwa sababu humo ndani inajisafisha wenyewe with natural vaginal secretions.

kama hauna uwezo wa kununua hizo sabuni ambazo ni special kwa kazi hiyo basi unaweza kutumia hata sabuni zisizokuwa na manukato.
halafu nimesahauu kuwaelewesha kitu kingine wakati wa kujiswafi anza kwanza na uke kisha ujiswafi na nyuma panapotoka haja kubwa.

sasa we kama unaona unadanganywa kaa na harufu/uchafu wako mana wengine naona hamtaki kufundishika!

nonsense
 
Back
Top Bottom