Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
ha ha ha ha hiyo ni kweli bana ukikapuliza kandege huku down hakafi lolHa ha haaaa just next to impossible!!!!!
hata BAK anajua hiyo kitu!!!!
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha hiyo ni kweli bana ukikapuliza kandege huku down hakafi lolHa ha haaaa just next to impossible!!!!!
Sabuni ni hatari ktk uke... Inasababisha fungus yaan balaa
ha ha ha ha hiyo ni kweli bana ukikapuliza kandege huku down hakafi lol
hata BAK anajua hiyo kitu!!!!
hapo utakuta ye kaboxa kake kachafu hatari mxyuuuuu
Mie nanyoaga para kabisa kwaiyo nakosea etiee hahahahaha
Najua na nishapuliza sssanaa mpaka kizunguzungu juu ila sikutegemea wewe kujua hiyo mambo asee yaani tunapaka manati damu ili iwe na mashampong'o (shabaha)!!!!!!
....madogo yana nafuu.
Maana siku hizi kitchen party zinatolewa mpaka na wanaume.
Jivu??? kisa cha kuhatarisha usalama wa uchi....
sasa hizo zinazochomelewa ni vz au rasta....Unashangaa hilo! Wenzio wanatumia kibatari au mshumaa kumaliza kaz, upo hapo
sasa hizo zinazochomelewa ni vz au rasta....
umesahau kutukumbusha na kunyoa vz...
nataka kusokota dread...twende saluni ukanyolewe
Hiv kweli kwa akil ya kawaida,mwanamke wa jf,aweze kuwa na access ya mtandao,ashndwe kujua namna ya kujifanyia usafi bac itakuwa ni vioja,jaman jarbun kukomaa kiakil,as long as uwezo wako wa kufikr n mdogo,usidharilshe watu,btw ss wengne ni maparadise wtu.
Hii kali , mie staki ioshwe kila wakati maana itakosa hualisia, raha ya k angalau ka harufu kidogo ndio unapata hanjamu, pua nayo inapenda kupata hamu yake bwana, ila kauvundo kasipitilize
Habari zenu wakuu.
Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.
i) Wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.
ii) Jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.
iii) Kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.
iv) Usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.
v) Mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.
Fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.
Ni rahisi sana dada zangu si mnaona.