innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 750
kwani kuna shida jamen mbona kusafisha tumekumbushwa???
Ha ha ha ha ha ha nazani ameshakuonaa atakukumbusha vyote ht kunyowa kwapa lol?
kwani kuna shida jamen mbona kusafisha tumekumbushwa???
Kuna picha ya rasilimali vuzi nilitaka niiweke, sema jukwaa linaniangusha....sio lake...dahhhh!!!!!
Yaani ukinyolea jivu, vuzi halikutambai ng'oooo
Ha ha ha ha ha ha nazani ameshakuonaa atakukumbusha vyote ht kunyowa kwapa lol?
Ntafurahi....
we ni mkerewe nn mbona wasema "kunyowa" badala ya "kunyoa"
aaaah we sithubutu mie acha litambae kama tembele tu
Bado ni hatari... Binafsi naogopa saan hata ctaki sabuni ipite mitaa hyo ya ikulu yangu maan najua madhara yake
poa nikajua mkerewe mwenzanguHa ha ha ha ha ha ha umeniua mbavu zangu etii mkerewee lol.mm mtoto wa arusha
Hahahahahaha lol!!!!
aaaah we sithubutu mie acha litambae kama tembele tu
Teh kwendraaaaa apulize kwani ni manyoya ya njiwaKwa hiyo Mr. akiingia mpaka apulize
Teh kwendraaaaa apulize kwani ni manyoya ya njiwa
Naomba uwawekee romantic song Evelyn Salt na huyu innocentmollel maana wanakoelekea naona kunaenda kunawirisha sehemu
Sasa njia si itakuwa imeziba kabisa....hakuna jinsi
Duh mwee,wanaume wanafunda tih tih tih nakunyoaje,twatakiwa kunyoaje?