Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

That is very TRUE. UK kama unahela ya mawazo aaah ***** lazima uangukie pua. Mi nlikaa central london pale hela nliokua natumia daaah acha tu.

Kutoka London kwenda vimji na miji ya jirani tu kama Luton, Milton Keynes, Bedford, Brighton daaah mazee ni watoa pounds kibao.....vocha yenyewe bundle la Lebara ni £ 7.5 so ni lazima ununue £ 10.

Saloon haircut £ 10 - £12, kuchonga na ndevu £ 5 (nikaona useng* nikawa na my own hair cut machine, at times le mbebez akawa ananinyoa low cut au kuchonga ghettoni)

Luton na London its almost like Dar to Kibaha tena ni kama Kibamba mwisho tu...nauli £ 10 go and return ukichukua train ni faster na gharama zaidi. Wtf man.

Rent ya Single room or Studio usibonyeze. Uzuri kule hata ukiwa na dem lazima apige mzigo, otherwise its a crisis. Tehe

Hela per hour ipo nzuri ndio ila wit the life expenses there...it all flows back to the system. i.e. rent, bills (water, gas & electricity), council tax, income tax, national insurance, car insurance, health insurance, phone charges, car parking slots outside unalipia.

Hapo bado hujala, hujavaa. ***** utalia wewe. Unless una an excellent skilled profession ndio utamake much. Uzuri mifano ipo mcheck Le Mutuz Hahahaha

Haaaaa life is not easy popote pale bana,tena ulikuwa unatumia libara(mtandao wa kimaskini) maana ukipiga africa unaweza ongea na mtu vizuri na mkaelewana,kuna lyca pia haaa,pole sanaaaaa
 
Hallo Senior Boss mimi sijawahi fanyiwa hivyo vitu popote, labda safari nitaona, sababu na tembelea Italy kisha nakuja Bongo nikipita bila kuguswa au nikiguswa nitakuletea mrejesho. Mimi wanaangalia pasport wanacheck kama si fake kisha sura basi. Pengine inategemeana na nchi ulizo pitia.

Ukiwa na passport ya tz hilo la fingerprint alikwepeki,Sema ukiwa na mkoba wa mbele wanaangalia tu kama sio fake na sura kama ulivyosema hapo juu,kaka napenda sana nije kutembea Amsterdam,inakuwaje??nipe plan
 
Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweli

Hilo la kuchoma vidole sijui kama kweli lakini warundi,wakongoman na wanyarwanda,hawa watu wapo wengi ulaya na asilimia 90%wamepitia tz kufika pande zile,huwa wanatengeneza mikoba ya tz wakifika huko wanajilipua maana wanakuwa na plan ambazo washapewa na ndugu zao,tatizo sisi wabongo tunalala sanaaaaa halafu waoga sanaaaaa
 
Suala Umesafiri Mda Mrefu Ku scan Vidole Hata South Afrika Ipo aisee Ni Identity ambayo wanaigundua kirahisi watu wa Migration walishaona Picha za Watu ni Uzushi so Ukizidisha mda Ukafanikiwa ukarudi Bongo Siku ya Kurudi hata kama Umenyoa kipara na Kubadilisha Jina Ukiingiza Vidole tuu system inakudaka na Kutoa details zako fasta.

Hii kwa watu wote au wabongo wenye mikoba ya kibongo ??
 
Siku hizi wana scan vidole pale JNIA. Mwaka jana Desemba, nilienda nchi moja ya Asia, nilivyokuwa naondoka na Etihad wakani-scan, niliporudi waka-scan tena. Ila ya Uholanzi pale Schiphol ndio kiboko, ukishachekiwa kwenye scanner kuna jamaa lazima wakupapase papase tena kujihakikishia kwamba huna kitu mbadala umebeba. Ile ndo inakeera zaidi.

Haya mambo ya kuscan vidole ni kwa ajili ya watu wenye mikoba ya kibongo au mikoba ya mbele pia??msaada tafadhali
 
Nimeshtushwa sana na wakuu mlivyokuwa ha usongo wa kuzamia UK mara sijui US
At the same time majuzi tu nilipitia Uzi ule wa marehemu Andrew Sanga aliefariki recently kule Texas na nikaona wala vumbi wa bongo wanavyowatukana na kuwakejeli wabeba boksi wa US kuwa warudi bongo!!!
Kumbe kuwa na papers za US Ama UK ni big deal na sikulijua hilo
 
Wanapumua oxygen hii hii ambayo mimi na wewe tunavuta.
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?

Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.

Tafadhali tuwasiliane kwa PM

Kama unaenda kusoma unaweza kuomba visa lakini kama utafuta maisha hiyo visa itakutokea puani ndugu yangu,nina mchz wangu yupo mbele,ana miaka zaidi ya 5,yupo yupo tu,hana permit mpaka leo hii yupo yupo tu aisee na kurudi tz mziki,ukichukua visa hapa bongo lazima ubalozini watakupiga fingerprint,sasa ukifika kule ukitaka kujilipua wakiangalia fingerprint wanakujua aise na wanaweza wakakurudisha mpaka tz,cha muhimu me naona bora upite nchi za western Europe(kama unaenda tafuta maisha ulaya) kama jamaa alivyokuelekeza hapo juu na kumbuka na umri pia,nasikia huko pia umri mkubwa ni tatizo,so jipange kuhusu hayo,watz wengi nje wanataabika sanaaaaa kwa ajili hawana permit za kuishi na akitaka kujilipua wanampiga fingerprint wanakuta tayari yupo katika system,kama unaenda kusoma poa unaweza omba visa ndugu yangu..kila la kheri
 
Hahaaa mkuu Wonderful habari za week end?Inabidi tubebane sana mkuu,familia zetu nyingi ni masikini wa kutupwa,lakini angalau kukiwa na mmoja yuko vizuri anaweza hata kusomesha wengine kwenye kaya na ukawa ndio mwanzo wa maendeleo mengine.

Pia kutuma foreign currence home kutasaidia sana katika ustawi wa jamii zetu.
Daah mkuu usithubutu kutuma pesa kwa ndugu... Wengi sio waaminifu
 
Haaaaa life is not easy popote pale bana,tena ulikuwa unatumia libara(mtandao wa kimaskini) maana ukipiga africa unaweza ongea na mtu vizuri na mkaelewana,kuna lyca pia haaa,pole sanaaaaa
Design hii mitandao kama ina territories flan hivi cz kuna maeneo service za mitandao flan huioni.....nilipokua nakaa wengi walikua Lebara....Labda ukienda mall za jirani ndio unaweza pata services za mitandao mingine kirahisi.

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mkuu,yamewahi kukukuta??
Nimekwambia ivyo cuz nimeshawahi kushuhudia mara kadhaa washkaji walioenda ughaibuni wakilizwa na ndugu.
Kuna jamaa alikuwa anatuma hela kwa ndugu yake kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya familia, mwisho wasiku yule mdogo wake akawa anamtumia picha za mjengo wa jirani...
Basi mshkaji aliporudi kutoka ughaibuni kitu alichokikuta hakuamini kama pesa zake zilikuwa zinatafunwa tu. Basi jamaa akaamua kukata mawasiliano na familia yao mpaka leo hii....

Sio uyo tu... Wapo wengi nlioshuhudia wakilia kilio cha mbwa (mdomo juu)
 
Design hii mitandao kama ina territories flan hivi cz kuna maeneo service za mitandao flan huioni.....nilipokua nakaa wengi walikua Lebara....Labda ukienda mall za jirani ndio unaweza pata services za mitandao mingine kirahisi.

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app

Yah ni kweli halafu Lebara watu wanapenda kutumia kwa sababu ukiweka vocha ukipiga africa unaongea dakika nyingi tofauti na mitandao mingine,Lebara na lyca ndo mpango mzima maana ukipiga africa unaongea mpka unachoka kwa vocha ya 10£ na ndo mana wafrica wengi wanatumia huko mbele dunia ya Kwanza
 
Nimekwambia ivyo cuz nimeshawahi kushuhudia mara kadhaa washkaji walioenda ughaibuni wakilizwa na ndugu.
Kuna jamaa alikuwa anatuma hela kwa ndugu yake kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya familia, mwisho wasiku yule mdogo wake akawa anamtumia picha za mjengo wa jirani...
Basi mshkaji aliporudi kutoka ughaibuni kitu alichokikuta hakuamini kama pesa zake zilikuwa zinatafunwa tu. Basi jamaa akaamua kukata mawasiliano na familia yao mpaka leo hii....

Sio uyo tu... Wapo wengi nlioshuhudia wakilia kilio cha mbwa (mdomo juu)

Mkuu kuna dada mwingine aliishi Sweden alifanyiwa hivyo hivyo na ndugu yake, siku alipopelekwa na kukuta hamna nyumba wala nini , alizimia na alipozinduka akatafuta passport yake akamwaga manyanga..hakutaki kupasikia bongo wala kutuma pesa ..ni majanga I see.
 
Back
Top Bottom