Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Tusiwaone wanigeria kuwa wanaakili za ziada, ni kwakuwa matatizo waliyonayo kwao ni mengi sana. Mtanzania aliemaliza darasa la saba, anaweza kuwa mkulima wa nyanya na mboga mboga. Kwa shughuli hizo anaweza kujenga nyumba ya kawaida na kusomesha watoto elimu ya sekondari.

Population ya wenzetu ni kubwa, kundi la waliosoma ni wengi, chance za kupata mkate wa kila siku tu, mtu mwenye degree ni ngumu.
Lakini mkuu elewa na sisi ndio tunako elekea huko,hatuna budi kujufunza mengi kutoka kwao.
 
Huyo demu wa kizimbabwe nilimuoaga mie.... 🙂🙂🙂
Hahaha...wakati ule target zangu zilikuwa ni kurudi bongo so nikachomoa.

Kuna mzee mmoja m Ghana ni lawyer, basi tu tulikua tunasali church pamoja RC.....huwa tunachangamkiana na tukazoeana sanaa pia tukawa tunakutana often Afro-Carribean Bar & Grill (The Chequers Pub) jirani na home.

Kaniambia kijana tafuta dem ubaki huku mi nitaku guide maujanja yotee all free (Dah sijui nilikua na kismati gan haki ya nani).

Dah yan hata sijui nlikua na nini walahi nikachomoa tena still.
 
Hivi kijana kuzamia ni mwisho umri gani maana hali inazidi kuwa mbaya....jahazi linazidi kuzama......
 
Nimekuwa interested na hao Nigerians.... Natamani nijue kuna kitu gani ndani yao

Wanajeria kitu adimu sana walichonacho Ni kujiamini tuu, awe kasoma au hakusoma. Watz tunapokua nje Ni waoga sana Kama tulivo Hapa kwetu. Nilikua nafikia hotel Fulani nje, hii hotel ukiwa uko Mpole Kama utakua imeingia pale saa 10 usiku wanakuchaji ile siku Na inayofata pia. Wakikumbana Na wanajeria hawajaribu kabisa iyo lugha. Wanawatesa Wamali,Watz,Wasudan Na baadhi ya Nchi.
 
Dadadeki zao Daaah.... Lakini kweki by nature waTZ wengi kama tumezubaa flani ivi
 
Siku hizi hatari sana. Immigration TZ wako update sana kwenye system.
Kuna mtu aliingia JK Nyerere Na passport ya Canada, akachukuliwa vidole.

Akaenda wiliyani kuomba passport ya Karatasi, akapata.
Sasa akataka kutumia Ile ya Karatasi kwenda nayo South.

Si akabidi achukuliwe tena vidole kutoka, mambo yote yakawa hadharani.

Pesa ilimliotoka si kidogo Na safari ikaishia hapo hapo Airport.

Hivi asingeweza kutumia hiyo ya Canada kwenda South..na je S.Africa nao wanakubali hizi passport za makaratasi ya kuzungukia E.Africa.

Mf.nina passport ya Tz then nataka kwenda nchi za Asia ambazo hazihitaji mimi kuwa na viza yao then nimekaa nchi tofauti na Tz kwa miezi 3 mf.Nairobi,je naweza kuondokea Nairobi bila kufika tena Tz kugongewa mihuri?
 
Hivi kijana kuzamia ni mwisho umri gani maana hali inazidi kuwa mbaya....jahazi linazidi kuzama......
Kule hamna cha umri wala nini wewe nenda kule as a student iwe ni US or UK then badilisha ngano kuwa mchele.

Kama unaweza pata dem mkaoana (ofkoz uwe single) unapata ma paper yako ya permit to stay kwanza plus work permit then baadae sasa ndio waweza kuja omba uraia. Kuna vihunzi flan inabdi uviruke uvitosheleze in a specific time frame. Malengo yako yakitimia unaachana na huyo dem unafanya yako ukipenda lakini.
 
Hiyo ni gharama ya mwaka mmoja, Na wao kwa sasa hawakupi visa ya course nzima, wanatoa kidogo kidogo. Mfano course ya miaka mitatu wanakupa visa ya mwaka mmoja mmoja mara 3. Na kila mwaka unatakiwa kuonesha hicho kiasi au uwe umeshalipia gharama husika + visa application fees.

Kwa stail hii UK nitaendelea kupaona kwenye tv tu.

Ni do able, course za chuo ni around £5000 hadi £7000
Rent ni £5200 kwa mwaka
Mizunguko Nauli Kula kama £100 kwa wiki. £5200
Hapo unahitaji £17400 *3200= 55,680,000 madafu.

Ova
 
45 bado unaweza kuzamia Na wapo wameondoka Na saivi wamepewa Passpot ya uk

Shukrani bwana mdogo ngoja na mimi nifanye huo utaratibu.....maana hapa kwetu ni kama jahanamu....tunalipa makodi mengi lakini huduma za kijamii za kubembelezana.....mafisadi yanatuibia kila siku yanaibuka maskendo ya wizi mkubwa mkubwa.....nikiishi hapa naweza kufa kwa presha au kisukari....

Bora niende tu.........
 
Kule hamna cha umri wala nini wewe nenda kule as a student iwe ni US or UK then badilisha ngano kuwa mchele.

Kama unaweza pata dem mkaoana (ofkoz uwe single) unapata ma paper yako ya permit to stay kwanza plus work permit then baadae sasa ndio waweza kuja omba uraia. Kuna vihunzi flan inabdi uviruke uvitosheleze in a specific time frame. Malengo yako yakitimia unaachana na huyo dem unafanya yako ukipenda lakini.

Asante kijana kwa muongozo.....nitafanya kila mbinu ili nifike huko duniani......
 
Asante kijana kwa muongozo.....nitafanya kila mbinu ili nifike huko duniani......
Mkuu kwa ushauri wangu kama utaweza nenda Canada au US....UK hamna deal tena kule life la gharama tu alaf kuna miji kazi kidogo utata.

Ukienda Canada kishule hata ukimaliza unaongezewa postgrad visa 2 years huku unakua na nafasi kutengeneza mambo yako....plus ile nchi now iko welcoming sanaa. Its like they need people.
 
Back
Top Bottom