Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Hiyo ni kama unataka kuwa Mwanafunzi, ila kuna visa za Visiting, ambazo masharti yake ni nafuu kama una fixed assets bongo.
kijana hizo njia ni ngumu sana
Hiyo ni kama unataka kuwa Mwanafunzi, ila kuna visa za Visiting, ambazo masharti yake ni nafuu kama una fixed assets bongo.
Tusiwaone wanigeria kuwa wanaakili za ziada, ni kwakuwa matatizo waliyonayo kwao ni mengi sana. Mtanzania aliemaliza darasa la saba, anaweza kuwa mkulima wa nyanya na mboga mboga. Kwa shughuli hizo anaweza kujenga nyumba ya kawaida na kusomesha watoto elimu ya sekondari.
Population ya wenzetu ni kubwa, kundi la waliosoma ni wengi, chance za kupata mkate wa kila siku tu, mtu mwenye degree ni ngumu.
kivipi mkuu, kujilipuaje hapo
HAKIKA watanzania waoga vibaya mno mno, life mtu limempiga hataki plani B anasema atatoboa hap hapa bongo
Ndugu cha kwanza ulaya ni permit,(kwa majibu wa rafiki zangu ambao wapo huko dunia ya kwanza) na hiyo permit kupata kuna njia nyingi kidogo,ya kwanza kujilipua yani unajifanya mkimbizi uliyekimbia vita katika nchi zenye vita africa kama africa ya kati,sudan,Somalia n.k,so hapo unakana kabisa uraia wa tz na kujipa uraia wa nchi yenye vita hili upate permit,lakin hapa pia ni bahati maana kuna wengine wanafanya hivyo lakini kwa sababu ulitoka na visa africa wanajua kupitia fingerprint hata kama ulibadilisha jina,wanafika wanajua na hawakupi permit na kukujulisha kama wakikumata,ndo pale unasikia mtu ana nyundo kibao hana mbele wala nyuma na yupo mbele,na kuna wengine wana bahati wanajilipua na kitu kinajipa,wanapata permit na maisha yanaendelea,so kila mtu na bahati yake,...Na ya pili ni kuolewa na demu mwenye permit au uraia anaweza pia akafanya ukapata permit kwa ndoa na ndo mana wabongo wengi au waafrica wengi wanaolewa na vibibi kwa ajili ya permit,na nyingine unaweza ukawa mgonjwa wanakupa permit kama dactari anasibitisha kwa maandishi,..Kama mwingine anazijua nyingine anaweza nisaidia
mkuu sasa muda ukiisha hapo nafanyaje ili nisikamatwe labdaStory za vijiweni hizi bwana dah wabongo tuko vzr. Hapo jiulize, wangap wanafanikiwa kwa njia hiyo? Simplest ni viza ya uanafunzi baaasi
Ndugu cha kwanza ulaya ni permit,(kwa majibu wa rafiki zangu ambao wapo huko dunia ya kwanza) na hiyo permit kupata kuna njia nyingi kidogo,ya kwanza kujilipua yani unajifanya mkimbizi uliyekimbia vita katika nchi zenye vita africa kama africa ya kati,sudan,Somalia n.k,so hapo unakana kabisa uraia wa tz na kujipa uraia wa nchi yenye vita hili upate permit,lakin hapa pia ni bahati maana kuna wengine wanafanya hivyo lakini kwa sababu ulitoka na visa africa wanajua kupitia fingerprint hata kama ulibadilisha jina,wanafika wanajua na hawakupi permit na kukujulisha kama wakikumata,ndo pale unasikia mtu ana nyundo kibao hana mbele wala nyuma na yupo mbele,na kuna wengine wana bahati wanajilipua na kitu kinajipa,wanapata permit na maisha yanaendelea,so kila mtu na bahati yake,...Na ya pili ni kuolewa na demu mwenye permit au uraia anaweza pia akafanya ukapata permit kwa ndoa na ndo mana wabongo wengi au waafrica wengi wanaolewa na vibibi kwa ajili ya permit,na nyingine unaweza ukawa mgonjwa wanakupa permit kama dactari anasibitisha kwa maandishi,..Kama mwingine anazijua nyingine anaweza nisaidia
Asante sana,nimekupata vizuri ila swali la nyongeza,kuna watu wanasafiri na kukaa nchi fulani kwa kipindi kifupi na anapata safari ya kwenda kwingine,je sasa hao wanafanyaje au wanaenda ubalozi wa Tanzania katika hizo nchi? Na kama wanaenda ubalozini je kama hiyo nchi haina ubalozi hadi uende ubalozi uliopo nchi jirani inakuwaje.Hapo Ngumu, na siko Sure kuhusu Kenya. Ngoja nikupe mfano wa Tanzania.
Mfano una Passport ya Uganda, umekaa TZ labda miezi 2 kwa visa tu ya kawaida ya bure, halafu umepata ishu mfano ya kwenda India au China. Immigration ya Tanzania huwa hawataki uondokee Tz, wanataka urudi kwenu ndio ukasafiri yaani uondokee kwenu.
Lakini ukihonga unapita.
Mfano: unaishi Australia.Asante sana,nimekupata vizuri ila swali la nyongeza,kuna watu wanasafiri na kukaa nchi fulani kwa kipindi kifupi na anapata safari ya kwenda kwingine,je sasa hao wanafanyaje au wanaenda ubalozi wa Tanzania katika hizo nchi? Na kama wanaenda ubalozini je kama hiyo nchi haina ubalozi hadi uende ubalozi uliopo nchi jirani inakuwaje.
Naomba nisaidie hayo maana nisije nikakwama na nauli yangu ikaenda bure.
Mkuu nipe njia hata za kwenda australia ua canadaIn short wabongo ni wachoyo, wabinafsi na roho za kwanini sanaa. Mimi nlivyokua huko kuna wabongo nilikua nao nimewasoma sanaa na kuwa judge kwa makini aisee hapana hawafai kabisaaa, kati ya wabongo 10 wawili au watatu ndio wako loyal na kuna baadhi hawataki hata kujulikana ni wabongo kule.
Ndio maana nikaamua kuwa close na nigerians na zimbabweans wako peace sanaa. Mbongo aone unaotea shifts kadhaa unapiga hela au aone unaongeza ma elimu wata hate sanaa (wivu kibao) from within ila wanajitahidi kuificha.
Kuna kipindi nilipungukiwa na hela kidogo nikawa na live under strict budget kama like 2 nd half months hivi ( kuna issue nilikua nafanya hela ikachelewa kurudi)
Huko UK..kula nikawa napiga like twice daily ( Breakfast + jioni napiga menu kama saa 10 hivi ) nakazia na bread ghettoni kabla sijalala ndio ntolee hyo had kesho labda nibahatike kupewa menu job.
Kuna dem flan wakibongo nilikua nae alini treat fresh sana i can NEVER forget her....aaah at tyms naenda kwake jirani mitaa kadhaa, napiga menu narudi zangu ghettoni at tyms ananletea menu ghetto...plus nigerians walinitoa sanaa kipindi hicho.
Wabongo wengine sasa wale niliokuwa nakula nao bata at the start....aaah ***** kila mtu hakujui wanakuambia aah UK maisha tight bla bla bla....nikasema moyoni baridi tu. Kama sio yule dem wa kibongo na kuishi vizuri na wa naija sijui ingekuaje ni mengi wameni favor (plus michongo ya kazi) i cant write all in here, nawasiliana nao mpaka leo.
Aah kuna watu sio kabisa.
Imagine kuna dem waki zimbabwe alitaka kunitongozeshea a single mother wa ki zimbabwe aged like 32 (alinizidi umri kdgo) nimuoe nipate permit ni remain kule. Aargh nikachomoa.
Du m55 tayari naendesha H2.Ni do able, course za chuo ni around £5000 hadi £7000
Rent ni £5200 kwa mwaka
Mizunguko Nauli Kula kama £100 kwa wiki. £5200
Hapo unahitaji £17400 *3200= 55,680,000 madafu.
Ova
Kama kuna wadada wanaohitaji kufanya kazi kanada naweza kusaidia kupata visa Na wao watalipiwa harama zote Na kampuni ambayo itapendele
U.K. Mkuu
Ndugu kama unataka kwenda saka maisha mazuri bila stress nenda Scandinavian countries kama Norway .. Sweden... DenmarkWakuu,
Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?
Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.
Tafadhali tuwasiliane kwa PM
Shukrani,vipi umefika salama Australia?Ndugu kama unataka kwenda saka maisha mazuri bila stress nenda Scandinavian countries kama Norway .. Sweden... Denmark
Ni nchi rahisi kupata visa lkn pia mfumo wao wa maisha ni rahisi sana sana kutoka coz ajira ni za kutosha pia maslahi ni mazuri.
Ntafika huko jtatu ndugu.... Nakwea pipa keshoShukrani,vipi umefika salama Australia?
Hii ni Mara ya nne nakwenda so nina uzoefu...Nenda mkuu,explore the opportunities,alaf leta feed back mkuu,nchi imeshakua ngumu hii tayari.
Story za vijiweni hizi bwana dah wabongo tuko vzr. Hapo jiulize, wangap wanafanikiwa kwa njia hiyo? Simplest ni viza ya uanafunzi baaasi
kwa sisi wenye vitambulisho vya taifa, kura finger print zinatuumbua
That is very TRUE. Nobody is ever gana tell you how they live nd managed to remain mbelez i.e. UK or US. NEVER !!!Haaaa unaona me naleta stori za vijiweni,!!tembea uone dunia watu wanaishije,kuna wabongo wengi mbele wamejilipua na wamefanikiwa lakini hawapendi kuongea ukweli maana sisi wenyewe kwa wenyewe uchongeana kwa immigration,hili kujilinda amwambii mtu labda zaidi ya washikaji wake wa ukweli au familia yake ndo inajua,kumbuka mtu hawezi kukwambia ukweli anaishije ulaya kaka