Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

That is very TRUE. UK kama unahela ya mawazo aaah ***** lazima uangukie pua. Mi nlikaa central london pale hela nliokua natumia daaah acha tu.

Kutoka London kwenda vimji na miji ya jirani tu kama Luton, Milton Keynes, Bedford, Brighton daaah mazee ni watoa pounds kibao.....vocha yenyewe bundle la Lebara ni £ 7.5 so ni lazima ununue £ 10.

Saloon haircut £ 10 - £12, kuchonga na ndevu £ 5 (nikaona useng* nikawa na my own hair cut machine, at times le mbebez akawa ananinyoa low cut au kuchonga ghettoni)

Luton na London its almost like Dar to Kibaha tena ni kama Kibamba mwisho tu...nauli £ 10 go and return ukichukua train ni faster na gharama zaidi. Wtf man.

Rent ya Single room or Studio usibonyeze. Uzuri kule hata ukiwa na dem lazima apige mzigo, otherwise its a crisis. Tehe

Hela per hour ipo nzuri ndio ila wit the life expenses there...it all flows back to the system. i.e. rent, bills (water, gas & electricity), council tax, income tax, national insurance, car insurance, health insurance, phone charges, car parking slots outside unalipia.
Le MUTUZ amekaa karne nzima majuu lakini ndio kwanza amenunua Noah juzi.karudi kachoka kuliko alivyoenda.Ulaya kuzuri kusalimia na kurudi

Hapo bado hujala, hujavaa. ***** utalia wewe. Unless una an excellent skilled profession ndio utamake much. Uzuri mifano ipo mcheck Le Mutuz Hahahaha
 
Hivi Bank statement unaweza ukaifanyia utaratibu wa kuipaka rangi kwa wazee wa mjini wamenielewa.ikatoka kama kuna figa ambazo vyuma havijakaza
 
hiyo kazi ya kuchunga ng'ombe walikuwa wanakulipa shs ngapi na mu-arish ulikuwa unamlipa ngapi
By then nina kazi niliajiri mmoja demu wa ki-Irish awe ananisafishia nyumba. Basi nakua nacheza game huku anasafisha I like their sh sh sh accent yao sema fegi tu ndio wanakera.

Sasa we uzamie kwenda Ireland si bora ubaki Sumbawanga unalima ufuta
 
wabongo tumezidi umbeya
Hata tukiwa nayo hatuna roho Ya kusaidiana. Wabongo ki ukweli tuna roho fulani kila mmoja anajitahidi mwingine alifarikiwe. Nigerians wapo wengi wanasaidiana sana . Zimbabwe wa kumwaga wanapeana deal mno. Watz ni kuasemana na majungu . Hiyo spirit sijui kama itatuisha.
 
Nenda viva tower iwapo upo Dar kuna agent wao atakupa visa
Jombaa, viza haitolewi kama kadi za kitchen party.

Viza inatolewa na consulate tu, hata kama walikuwa wanatumia jengo la Viva tower kwa muda ujuwe huyo siyo wakala hiyo ni British high commission consulate.
 
Aaaah kuna mwanangu mmoja m zimbabwe my age mate aliniambia

" Bro maisha yako yote usije ukalogwa useme eti unaoa binti wa kizungu, alaf useme una settle nae kule. Utakuja mwaga kilio siku.

Mambo ya kuoa mzungu tutakuja kukuona mzee mzima unatembea na viimbwa (pets) kitaa sijui mambo ya kuosha vyombo ghettoni na kulisha watoto wakidai (haki sawa kwa wote) labda kama umependa.

Asians kibao wanapiga kazi balaa mpaka za kutunza wazee wamo, taxi drivers etc hawachagui. Wana njia zao nyingi za kutafta hela yet mizungu ya pale unakuta mizembe tu kila uchwao wanalalama foreigners wanachukua kazi zao.
Ndicho kilicho mkuta Emmanuel Eboue mchezaji wa zamani wa Arsenal Galatasary. Amefilisiwa naa mkewe wa wakizungu baada ya kudai talaka mahakamani
 
Ndicho kilicho mkuta Emmanuel Eboue mchezaji wa zamani wa Arsenal Galatasary. Amefilisiwa naa mkewe wa wakizungu baada ya kudai talaka mahakamani

Ulaya matajiri wengi wanazaa tu, ndoa hawafungi hata wakifunga wanafanya pre-nup aggreement ili wasije umizana financially baadae. Wanaodumu kwenye ndoa ulaya ni wachache sanaaaa.

Hzi ngozi nyeupe sio za kuamini kabsa. Mnaanza vizuri baadae unashangaa mnapelekana central sio issue kabisa.
 
Huwezi kupata visa ya kuingia na kuishi UK kwa wewe mbongo. Hiyo futa kwenye kichwa chako otherwise kama ulisoma /unaenda kusoma UK.
Jipange tafuta pesa kisha pitia Syprus, Greece, Hungary, Bulgaria. Then stay there for not less a year, kisha utaomba resdent permit(RP) then utaweza ingia UK kiutamuutamu na kupiga life. Nina jamaa yangu yupo Leeds but naogopa kukuconnect nae maana nilishawahi kufanya wema huo kisha jamaa akamuibia mshikaji vitu kibao akala kona to Wales but jamaa alimkamata after 3months.
NOTE:Maisha ya UK ni very tight so Jipange.
Ukijipanga unapata tu
 
Nimeshawahi kupata visa ya US bila ya kuonyesha bank statements na kusema kweli nilikuwa sina bank statement. We live in the information age, tatizo watu wengi safari wanaitaka lakini hawana the right information.

Njia niliyotumia ni ya uhakika na wengine niliowaambia wameitumia na kwenda states bila ya longo longo.
Mkuu ku apply visa, sio issue issue ni kuwa Wengi hatuna sifa....utakuta mtu ana $4,000 au $5,000 hata aroge huwezi pata Visa ya UK or America, but kuna njia anaweza tumia akatoboa Ulaya nchi za kawaida baada ya muda then anaweza kwenda kwenye nchi ya matamanio yake, sasa maujanja kama haya huyapati ubalozini, ila kupitia Social forums kama hizi.
 
Nimeshawahi kupata visa ya US bila ya kuonyesha bank statements na kusema kweli nilikuwa sina bank statement. We live in the information age, tatizo watu wengi safari wanaitaka lakini hawana the right information.

Njia niliyotumia ni ya uhakika na wengine niliowaambia wameitumia na kwenda states bila ya longo longo.
Si utuambie na sie tujue
 
Heathrow hiyo-British mnaambiwa pita huku tazama kioo hicho mara mlango unafunguka unaenda zako-hawa wenzetu wanapiga sijui niite finger print ya macho-ukiweka jicho tu details zako zote scanner inacheck na abracadabra sign inasema welcome back home lango linafunguka unaishia zako-hakuna foleni hapo yaani unapita tu
hiyo ni iris scanner, finger print scanner ni rahisi kuihack kwa kutengeneza artificial plastic fingerprints, na iris inaweza kuwa forged kwa kutengeneza plastic micro contact lens kwenye jicho lako hizo method zote ni very expensive zinatumiwa na mashirika makubwa kama CIA,KGB,FBI to hide their identities during their secrete missions
 
Brothers ni nchi Gani ya ulaya ni rahisi zaid kuingia kuanzia ku fight
 
Back
Top Bottom