Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Mkuu kuna dada mwingine aliishi Sweden alifanyiwa hivyo hivyo na ndugu yake, siku alipopelekwa na kukuta hamna nyumba wala nini , alizimia na alipozinduka akatafuta passport yake akamwaga manyanga..hakutaki kupasikia bongo wala kutuma pesa ..ni majanga I see.
Yani kuna ndugu wengine ni kama mzigo wa misumari aseee... Hawabebeki hata theluthi
 
Yani kuna ndugu wengine ni kama mzigo wa misumari aseee... Hawabebeki hata theluthi

Same issue different scenario ilimtokea mzee wangu. Kuna wakati alikua akijenga nyumba yake ya biashara....sasa katika upande wa furniture i.e. milango, vitanda na madirisha akaona ni vizuri hyo kazi ampe mdogo wake wa damu kabisa aifanye ikiwa ni moja wapo namna ya kumsaidia nduguye. Yule uncle alichofanya, acheni tu.

Mzee mpaka kesho hasaidii ndugu.
 
waswahili wanasema WASIWASI NDIO AKILI
 
Hivi asingeweza kutumia hiyo ya Canada kwenda South..na je S.Africa nao wanakubali hizi passport za makaratasi ya kuzungukia E.Africa.

Mf.nina passport ya Tz then nataka kwenda nchi za Asia ambazo hazihitaji mimi kuwa na viza yao then nimekaa nchi tofauti na Tz kwa miezi 3 mf.Nairobi,je naweza kuondokea Nairobi bila kufika tena Tz kugongewa mihuri?

Hapo Ngumu, na siko Sure kuhusu Kenya. Ngoja nikupe mfano wa Tanzania.
Mfano una Passport ya Uganda, umekaa TZ labda miezi 2 kwa visa tu ya kawaida ya bure, halafu umepata ishu mfano ya kwenda India au China. Immigration ya Tanzania huwa hawataki uondokee Tz, wanataka urudi kwenu ndio ukasafiri yaani uondokee kwenu.

Lakini ukihonga unapita.
 
Kuna wakimbizi ambao wako kambi za kigoma kila mwaka lazima wapelekwe Canada au USA kwa mamia,ndio hao mnao waona,hata hao warundi wanaomkimbia nkurunzinza ukiwaoji wanakwambia wanataja kwenda Canada,zamani walikuwa wanapitishiwa Nairobi lakini sasa hivi wanapandia kigoma to majuu
 
bado wanafanya hii kitu nikajiunge tu nipelekwe
 
bado wanafanya hii kitu nikajiunge tu nipelekwe
Bado wanafanya mkuu,sasa hivi wakimbizi wanaoenda ni wakongo waliokaa mda kidogo tofauti na hawa wa Burundi waliokuja juzi, au kwa msaada zaidi ngoja nipate taarifa za wakimbizi Fulani walimzoea ndugu yangu,so huwa wakija kununua mahitaji wanafikia kwanza shop kwake,wao walikuwa kwenye mpango wa kupelekwa mwaka huu...
 
Mwaga madini hapa mkuu,kwa manufaa ya wengi.
 
Kuna wakimbizi ambao wako kambi za kigoma kila mwaka lazima wapelekwe Canada au USA kwa mamia,ndio hao mnao waona,hata hao warundi wanaomkimbia nkurunzinza ukiwaoji wanakwambia wanataja kwenda Canada,zamani walikuwa wanapitishiwa Nairobi lakini sasa hivi wanapandia kigoma to majuu

Kuna kambi moja inaitwa lugusu,dah hapo waha wengi wameenda marekani,Canada hata Europe,kigoma hiyo njia hipo Kitambo sanaaaaa,waha waliokuwa wajanja wanaishi dunia ya kwanza
 
Hilo la kuchoma vidole sijui kama kweli lakini warundi,wakongoman na wanyarwanda,hawa watu wapo wengi ulaya na asilimia 90%wamepitia tz kufika pande zile,huwa wanatengeneza mikoba ya tz wakifika huko wanajilipua maana wanakuwa na plan ambazo washapewa na ndugu zao,tatizo sisi wabongo tunalala sanaaaaa halafu waoga sanaaaaa

HAKIKA watanzania waoga vibaya mno mno, life mtu limempiga hataki plani B anasema atatoboa hap hapa bongo
 
Kama unaenda kusoma unaweza kuomba visa lakini kama utafuta maisha hiyo visa itakutokea puani ndugu yangu,nina mchz wangu yupo mbele,ana miaka zaidi ya 5,yupo yupo tu,hana permit mpaka leo hii yupo yupo tu aisee na kurudi tz mziki,ukichukua visa hapa bongo lazima ubalozini watakupiga fingerprint,sasa ukifika kule ukitaka kujilipua wakiangalia fingerprint wanakujua aise na wanaweza wakakurudisha mpaka tz,cha muhimu me naona bora upite nchi za western Europe(kama unaenda tafuta maisha ulaya) kama jamaa alivyokuelekeza hapo juu na kumbuka na umri pia,nasikia huko pia umri mkubwa ni tatizo,so jipange kuhusu hayo,watz wengi nje wanataabika sanaaaaa kwa ajili hawana permit za kuishi na akitaka kujilipua wanampiga fingerprint wanakuta tayari yupo katika system,kama unaenda kusoma poa unaweza omba visa ndugu yangu..kila la kheri

kivipi mkuu, kujilipuaje hapo
 
Back
Top Bottom