Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Miundo mbinu ni urefu wa kamba yako, Ila ingia ki uanafunzi. Kisha unabadili unga kuwa mchele.

Tuambie njia mkuu iko vp....cz niliwahi piga shule UK. Ila wale majamaa wanabana sanaa mpaka nika give up. Cz its obvious a potential employer can't sponsor u wakati UK citizens wako kibao wenye uwezo kufanya hyo Job.

Tha easiest way pale ni kuoa ( dem unamuambia plan zako kila kitu). Then after that unapewa 5 year work visa/resident permit.
 
West Africans walinufaika sana na skilled workers visa, ni watu wenye either uwe umemaliza shule Uingereza au unaomba kutoka nchini kwako, sikuhuzi wamebana kila kona. Jaribu kuangalia skilled workers, walikuwa wanapewa 5yrs work permit na ikiisha hiyo, kama mwajiri wako ataandika barua kuwa bado anakuhitaji wanakupa leave to remain. Mara nyingi hii ni kwa huduma za afya, Dr's, nurses, radiographers, pharmacists etc.
 
Mkuu Mimi nilianza Kama wewe but now nasubiri Visa Tu, nataka nikushauri Tu, Kuna sababu ya msingi kwenda UK, au unaweza kwenda nchi yoyote ya European, Canada au Australia?
Sorry Mkuu maelekezo kdg kW nchi tajwa hapo kwny urahisi wake kuingia.....
 
Kwa aina ya shida ya mtoa mada! Atapata msaada na ushauri mzuri JF kuliko huko website ya U.K, unadhani huko kwa Website atakuta Maelezo yanayomwambia hawezi kupata Visa direct labda iwe shule? Na kuwa Kama anataka aanzie kuingia kupitia nchi maskini za eastern Europe then after one year ndo anaweza kuzama U.K?.......mtoa mada komaa hapa kwanza utapata msaada then ndo unaweza kutembelea immigration website ya U.K
Shukrani mkuu,nadhani wewe umesha elewa ninacho kitaka mkuu.
 
Mkuu Mimi nilianza Kama wewe but now nasubiri Visa Tu, nataka nikushauri Tu, Kuna sababu ya msingi kwenda UK, au unaweza kwenda nchi yoyote ya European, Canada au Australia?
Mkuu mimi kokote naenda,nipe ramani mkuu.
 
Allergy na maandishi kivipi mkuu? Mbona hata hapa anasoma maandishi!
Ungeniambia tatizo ni uelewa ningekubaliana nawewe.

Mkuu nimesema maandishi nikimaanisha kama document ni kubwa au ina umpteen corners to track. Sio hizi habari za direct, kuna zile kama page za ubalozini daah ni shida sana hta mm hua naishia kuweka details za nchi tu nikiona conditions na macho yanaanza kuuma narudi Jf
 
Sorry Mkuu maelekezo kdg kW nchi tajwa hapo kwny urahisi wake kuingia.....
UK Na America kwa uelewa wangu ndo Kati ya nchi ambazo Ni ngumu kuingia, but zipo nchi ambazo mpaka zimekaribisha wahamiaji Kama Germany Na Serikali inasema wazi unataka nguvu kazi, ukitembelea Website ya Canada wameweka wazi kuwa kwa mwaka huu wana mpango wa kupokea wageni zaidi ya 300,000 Kama sijakosea ila Tu kwa mujibu wa sheria, pia wenye professional wanazotaka wanawapa vipaumbele, tatizo la nchi hii hakuna hata forums special ambapo Watanzania wangepata msaada namna ya kwenda abroad, tofauti Kama Nigeria, niliwahi kuweka post hapa nikihitaji usaidizi kupata Canadian visa, mdau mmoja akani direct Naija.com, kule nilikuta watu wanavyo fight kuondoka, walio abroad wanawasaidia wenzao kwa ushauri mbalimbali namna ya kuondoka, Kama lengo lako kwenda Abroad first chagua nchi ya kwenda, then tembelea Expat forums mbalimbali za nchi unayotaka kwenda, huko utakutana Na ushauri utakutana Na wadau waliofanikiwa kuondoka, ama wenzio Kama wewe ama raia Na wapo very social, ukweli Ni kuwa Kama unataka kwenda lets say UK inabidi uwe Na zaidi ya $10,000 bank, wengi hatuna hiyo pesa labda tunaweza kuwa Na $6,000, hapa ndo unapohitaji Invitation letter, barua ya Mwajiri n.k, but Kama hivyo huna then tafuta connection hasa nje!
 
Huwezi kupata visa ya kuingia na kuishi UK kwa wewe mbongo. Hiyo futa kwenye kichwa chako otherwise kama ulisoma /unaenda kusoma UK.
Jipange tafuta pesa kisha pitia Syprus, Greece, Hungary, Bulgaria. Then stay there for not less a year, kisha utaomba resdent permit(RP) then utaweza ingia UK kiutamuutamu na kupiga life. Nina jamaa yangu yupo Reeds but naogopa kukuconnect nae maana nikishawahi kufanya wema huo kisha jamaa akamuibia mshikaji vitu kibao akala kona to Wales but jamaa alimkamata after 3months.
NOTE:Maisha ya UK ni very tight so Jipange.
Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.

Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
 
Niliwahi kwenda UK mwaka 2012 kishule shule, lakini nilitamani kukatiza hata hiyo shule yenyewe, maana niliona maisha ni magumu mno kuliko bongo. Yaani nauli tu ya daladala town trip ni sawa na kwenda moro. maisha ni magumu sana bana. Hiyo pesa ya kwenda nayo huko bora ukafanya mpango wa kuwekeza tu bongo mkuu
 
Niliwahi kwenda UK mwaka 2012 kishule shule, lakini nilitamani kukatiza hata hiyo shule yenyewe, maana niliona maisha ni magumu mno kuliko bongo. Yaani nauli tu ya daladala town trip ni sawa na kwenda moro. maisha ni magumu sana bana. Hiyo pesa ya kwenda nayo huko bora ukafanya mpango wa kuwekeza tu bongo mkuu
Maisha ni magumu kwako, kama Bongo baba yako ni fisadi wa Escrow ni lazima uone maisha ya UK magumu, unasema nauli ya daladala ni sawa ba Dar Moro mbona hutuambii mshahara kwa saa ni paundi ngapi kwa saa na mtu anaweza kufanya kazi ngapi kwa siku na kwa Agency kazi zipo?
 
Mimi ntakupa njia ingawa Ni ndefu lakini Ni ya uhakika!
Mkuu utani PM/fowardia pia hyo advice if u wont mind.

Many Thanks.
I'm thinking of Canada or UK. Ila UK palintumbukia nyongo bora Canaa iki iwe rahisi kuingia states.
 
Tuambie njia mkuu iko vp....cz niliwahi piga shule UK. Ila wale majamaa wanabana sanaa mpaka nika give up. Cz its obviousa potential employer can't sponsor u wakati UK citizens wako kibao wenye uwezo kufanya hyo Job.

Tha easiest way pale ni kuoa ( dem unamuambia plan zako kila kitu). Then after that unapewa 5 year work visa/resident permit.
Ndio hiyo nimemwambia jembe la mkono, akifika inabidi abadili unga kuwa mchele. Vibibi viko vingi.
 
Niliwahi kwenda UK mwaka 2012 kishule shule, lakini nilitamani kukatiza hata hiyo shule yenyewe, maana niliona maisha ni magumu mno kuliko bongo. Yaani nauli tu ya daladala town trip ni sawa na kwenda moro. maisha ni magumu sana bana. Hiyo pesa ya kwenda nayo huko bora ukafanya mpango wa kuwekeza tu bongo mkuu
That is very TRUE. UK kama unahela ya mawazo aaah ***** lazima uangukie pua. Mi nlikaa central london pale hela nliokua natumia daaah acha tu.

Kutoka London kwenda vimji na miji ya jirani tu kama Luton, Milton Keynes, Bedford, Brighton daaah mazee ni watoa pounds kibao.....vocha yenyewe bundle la Lebara ni £ 7.5 so ni lazima ununue £ 10.

Saloon haircut £ 10 - £12, kuchonga na ndevu £ 5 (nikaona useng* nikawa na my own hair cut machine, at times le mbebez akawa ananinyoa low cut au kuchonga ghettoni)

Luton na London its almost like Dar to Kibaha tena ni kama Kibamba mwisho tu...nauli £ 10 go and return ukichukua train ni faster na gharama zaidi. Wtf man.

Rent ya Single room or Studio usibonyeze. Uzuri kule hata ukiwa na dem lazima apige mzigo, otherwise its a crisis. Tehe

Hela per hour ipo nzuri ndio ila wit the life expenses there...it all flows back to the system. i.e. rent, bills (water, gas & electricity), council tax, income tax, national insurance, car insurance, health insurance, phone charges, car parking slots outside unalipia.

Hapo bado hujala, hujavaa. ***** utalia wewe. Unless una an excellent skilled profession ndio utamake much. Uzuri mifano ipo mcheck Le Mutuz Hahahaha
 
Back
Top Bottom