Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Shukrani bwana mdogo ngoja na mimi nifanye huo utaratibu.....maana hapa kwetu ni kama jahanamu....tunalipa makodi mengi lakini huduma za kijamii za kubembelezana.....mafisadi yanatuibia kila siku yanaibuka maskendo ya wizi mkubwa mkubwa.....nikiishi hapa naweza kufa kwa presha au kisukari....

Bora niende tu.........

Mkuu maisha ya Afrika Ni kubahatisha, risk, kutoka kimaisha Ni kazi sana hasa vipindi hivi vinavofata Ni tofauti ya zamani Leo mabepari waliokwisha Toka kipindi cha Mzee Ruksa, wakikuona unaingia kwenye channel zao watakuchomea Na vyovyote vile mtaji wako utakata tuu, kwaiyo saivi huwezi kumkuta kijana miaka 10 iliyopita amekua Tajiri Ama ameuza sembe. Ni walewale tuu kila miaka.
 
Mkuu maisha ya Afrika Ni kubahatisha, risk, kutoka kimaisha Ni kazi sana hasa vipindi hivi vinavofata Ni tofauti ya zamani Leo mabepari waliokwisha Toka kipindi cha Mzee Ruksa, wakikuona unaingia kwenye channel zao watakuchomea Na vyovyote vile mtaji wako utakata tuu, kwaiyo saivi huwezi kumkuta kijana miaka 10 iliyopita amekua Tajiri Ama ameuza sembe. Ni walewale tuu kila miaka.

Umeandika kitu cha msingi sana mkuu.....bora nikafie huko huko nje tu....
 
Mkuu ku apply visa, sio issue issue ni kuwa Wengi hatuna sifa....utakuta mtu ana $4,000 au $5,000 hata aroge huwezi pata Visa ya UK or America, but kuna njia anaweza tumia akatoboa Ulaya nchi za kawaida baada ya muda then anaweza kwenda kwenye nchi ya matamanio yake, sasa maujanja kama haya huyapati ubalozini, ila kupitia Social forums kama hizi.

dola 5000, huna mwenyeji, hujui life lipoje la huko, na hiyo ni pamoja na nauli, hata mimi nakunyima visa
 
Ni pm nikupe njia ya shotcut ya kupata visa Ila Uwe Na dola 2000, Na benkstatment yako. Hautoi Pesa mpk upate visa, process zote Ni uhakika. Ukiwa uko smart unajielewa kwenye interview Ndio ujibu kwa umakini kinachokupeleka uk.

haapo kwenye blue ndo shida, wale watu ni wana saikolojia ukidanganya wanajua kabisa, sijui wanapimaje asee
 
Suala Umesafiri Mda Mrefu Ku scan Vidole Hata South Afrika Ipo aisee Ni Identity ambayo wanaigundua kirahisi watu wa Migration walishaona Picha za Watu ni Uzushi so Ukizidisha mda Ukafanikiwa ukarudi Bongo Siku ya Kurudi hata kama Umenyoa kipara na Kubadilisha Jina Ukiingiza Vidole tuu system inakudaka na Kutoa details zako fasta.

nirudije bongo sasa, na hiyo hela ya kurudi ntatoa wapi kama nilizamia kihuni, kuna mtu kasema kama ni wa mboga 7 utarudi tu, ila ni kama wa vibarua vya masaa 10 unapewa 5000 to 7000 hakika hawezi rudi maisha
 
Hata tukiwa nayo hatuna roho Ya kusaidiana. Wabongo ki ukweli tuna roho fulani kila mmoja anajitahidi mwingine alifarikiwe. Nigerians wapo wengi wanasaidiana sana . Zimbabwe wa kumwaga wanapeana deal mno. Watz ni kuasemana na majungu . Hiyo spirit sijui kama itatuisha.

Wanaija wanasaidiana sana lakini ni hivi Yoruba anasaidia Yoruba , Igbo anasaidia Igbo , Fulani anasaidia Fulani na si vinginevyo..wabongo huko ughaibuni wanaongoza kwa unafiki ndio maana hawsaidiani kihivyo..ukimsaidia mtu baadae atakuja kukugeuka na hata kukuchoma uhamiaji sasa ya nini yote hayo si bora kila mtu afwe na lwake?? ni hivyo tu maana na mimi ughaibuni nilishaishi napafahamu sana.
 
We need to change,popote tunapokutana wabongo lazima tupendane,unafki na mambo mengine kama hayo hayasaiidi chochote,kwanza inabidi tujitengenezee confidence na misingi mizuri ya kusaidiana kwa vizazi vijavyo.
 
Hahaha...wakati ule target zangu zilikuwa ni kurudi bongo so nikachomoa.

Kuna mzee mmoja m Ghana ni lawyer, basi tu tulikua tunasali church pamoja RC.....huwa tunachangamkiana na tukazoeana sanaa pia tukawa tunakutana often Afro-Carribean Bar & Grill (The Chequers Pub) jirani na home.

Kaniambia kijana tafuta dem ubaki huku mi nitaku guide maujanja yotee all free (Dah sijui nilikua na kismati gan haki ya nani).

Dah yan hata sijui nlikua na nini walahi nikachomoa tena still.
Isome namba tu sasa maana hakuna namna.
 
Viza zinapatikana hapohapo ubalozini, wazungu wanalogwa na makaratasi tu, hayo makaratasi wanayoyataka yapo na viza zinatoka.

Kama kuna memba mwenye usongo na safari na anataka viza ajipange aandae dolar 2000 standby anapelekwa front viza ikitoka unacheuwa mpunga.

Acheni kukariri maisha, Diamond kila siku anakwenda hizo nchi na wakata viuno kwa mfano akiamuwa kumchomeka ndugu yake kwenye kuomba viza nani atajuwa?

Hizi ndio njia alizitumia Papa Wemba kitambo kuingiza wakongo Ufaransa, UK na Marekani hawamwangalii mtu usoni US Embassy wameshawahi kumtosa viza mzee Malecela na status yake.

Kwa wale ambao hamjafika ulaya mkifika mtashangaa sana kukuta wale mafalamafala enzi za shule ndio wametoboa kule wajanja kitambo wanapiga marktime. Enzi za kuivizia nchi ya kwenda kwa mzunguko wa mwaka mzima zimepitwa na wakati.
Kamanda Matola naona umeamua kufunguka safi sana!
 
Mkuu chase your dream
It will takes some times ila
ukiamini utafika pale

mifano ya watu wa Nigeria wanashangaza kila sekunde unapokutana nao Sipo ughaibuni ila nilipo tu nakutana nao
Wana spirit ya ajabu na confidence ambayo nashindwa kuielezea hawa jamaa ni washenzi sana kuna wakati na mimi hua najifanya mnaigeria ili niweze kupata baadhi ya vitu kwa haraka japo lafudhi yao inanishinda kidogo

usifunje sheria tu lakini hawa jamaa wanatengeneza ndoa fake ,magonjwa fake,familia fake na sababu fake kibao na wanaingia kupiga kazi sana na kwenye mzigo wapo smart balaa ni akili flani ambazo wao wana imani kali sana juu yake

Na sio hizo tu zipo njia nyingi mpaka unaweza kuchoka kwa jinsi hawa jamaa wanavyopenya kwenye hizi nchi zenye sheria kali za Visa na kisheria wanakua hawajazivunja

Sisi bado hatujapata changamoto nyingi za kimaisha kupambanua uwezo wetu wa kufikiri masuala ya kupitia Eastern Europe inawezekana sana ila kwa wenzetu hii ni janja za kiuoga na kupoteza muda wako maisha yanaweza kukupiga sana hapo katikati na usitamani kwenda mbele wala kurudi nyuma
Mkuu unapoongea khs jamaa wa WestAfrica nakuelewa zaidi kuna mahari nimekutana nao.....Kwanza wanaSprit yakusaka Maisha miongoni mwa vitu vinavyowasaidia kufanikiwa wakifika sehemu wanafanya iwezekanavyo Kuzoeana na MTU na kwakweli wako Very charming Kwakweli nawakubali sana...sio waoga wakusafiri
 
Kama kuna wadada wanaohitaji kufanya kazi kanada naweza kusaidia kupata visa Na wao watalipiwa harama zote Na kampuni ambayo itapendele


U.K. Mkuu
Sio kuuza mwili kweli....!!!
 
Na hii michezo Warundi hapa wanafanya sana na tena wanapitia Bongo, lakini nasikia pia wanachoma vidole sijui ni kweli
Kinachofanyika wanapokwenda kuomba Passport wakati wa kuscan Finger wanavilowanisha na Mate so hata wakiscan huwa hazisomi vzr
 
Kama ulikua umeweka sawa ducoment zako vizuri kwanini udanganye? Shida wengine hata akaweka sawa kila kitu bado anaudhaifu hapo Ndio inatakiwa ujielewe.
Sio kuuza mwili kweli....!!!

Hiyo kazi Ni mapenzi ya mtu wala Sio sababu ya shida. Au kukosa kazi
 
Tatizo wale watoto wanaofikiria wa kisure wakifika mbelez wanagundua mpunga wa dingi zao sio mrefu ki vile kuweza kulipa shule, nyumba, usafiri mbelez. Inasikitisha kukuta wadada wa kisure wamekuwa baby sitter wa wazimbabwe.
 
Back
Top Bottom