Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
That is correct...kuna dem flan mnigeria nlikua nae class moja....at the time mi nawaza kumaliza school then nirudi bongo kuendelea ku hustle huku dem akawa ananiambia plan zake kubaki kule, kupiga mzigo and how she wants to break outta poverty....Hawa jamaa wanasaidiana sana kwenye kutafuta maisha duniano pote,tofauti na sisi Watanzania,Hata ukitembelea forum yao ya Nairaland utaona ni jinsi gani wanapeana ideas mbalimbali namna ya kutoboa ughaibuni na nchini mwao pia,
Sisi wa Tz wengi hatuna hulka hiyo,kila mmoja anataka aonekane babu kubwa kuliko mwingine.
Dah for the first time in my life i felt very shallow minded and way back from being a life mastermind.....baadae sanaa after kunisoma that im that cool and humble type na si mtu wa kuropoka ropoka mambo ya watu....dem akaniambia mambo mengi sanaa on how they survive there....(It just depends on how far they like u)
Yuko mbele mpaka leo navyokuambia hapa....kajisomesha ma course mengine ya ukweli tu anapiga kazi na wakati huo aliniambia ana plan kujenga nyumba ya biashara huko kwao naija. Yuko mbali sanaa now.