hahahhakuna kijana mmoja ni usalama yupo kusini mwa nchi, kwao kanda ya ziwa. alifeli f4 na alarudia akafeli tena na baadae baba yake akahonga pesa ndefu kwa mshauri wa mgambo akapata nafasi jkt.... akalinda merelani na kuibukia kitengoni.
na mwingine simjui vzr, lakini tulifanya nae kazi za kitaifa eneo Fulani.... ni mweupe kichwani kuliko wengi mnavyowafikiria.
kwa mifano hiyo niwatoe wasiwasi mnaowawaza kuwa wanakitrngo wana akili ya ziada sio kweli, ni mchanganyiko kama kada zingine.
na kupata uongozi huko ni mchingo pia, vinginevyo utakesha unadukua wabunge au kulinda kwa waziri. wenye connection wamejichimbia huko kkwenye mitonyo zaidi.
hitimisho: wanakitengo ni watu kama ulivyo wewe
We unakusumbua ujuaji, TISS kuna watu wa kawaida kabisa, kikubwa ukizi vigezo vyak. Wakati mwingine wanachukua watu JKT, unataka kuniambia JKT wa kujitolea wanaenda vipanga? Wengi kule wanaenda plan B. Kingine kama unamjua mtu m1 kipanga yupo tiss basi kakutambia tu, maana kuna watu wapo kule na elimu zao za kawaida tu za kuunga unga. Acha ujuaji.kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..
hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
Please elaborate so brainwashed minions can understand your statement preciselyTISS is overated
Pesa ipo ?kuna kijana mmoja ni usalama yupo kusini mwa nchi, kwao kanda ya ziwa. alifeli f4 na alarudia akafeli tena na baadae baba yake akahonga pesa ndefu kwa mshauri wa mgambo akapata nafasi jkt.... akalinda merelani na kuibukia kitengoni.
na mwingine simjui vzr, lakini tulifanya nae kazi za kitaifa eneo Fulani.... ni mweupe kichwani kuliko wengi mnavyowafikiria.
kwa mifano hiyo niwatoe wasiwasi mnaowawaza kuwa wanakitrngo wana akili ya ziada sio kweli, ni mchanganyiko kama kada zingine.
na kupata uongozi huko ni mchingo pia, vinginevyo utakesha unadukua wabunge au kulinda kwa waziri. wenye connection wamejichimbia huko kkwenye mitonyo zaidi.
hitimisho: wanakitengo ni watu kama ulivyo wewe
Kuna wengine unajiuliza huyu kapatajae hiyo post !!!?? (Full incompetent).kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..
hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
TISS inakuzwa kinyume na uhalisia.Please elaborate so brainwashed minions can understand your statement precisely
kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..
hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kaziniKuna wengine unajiuliza huyu kapatajae hiyo post !!!?? (Full incompetent).
Acheni kudanganyana wazee.
Sifa ambazo unatakiwa kuwa nazo ili uwe polisi,jeshi nk ndizo sifa hizo hizo mtu anatakiwa kuwa nazo ili awe usalama.
Sema kimtaamtaa tunalishana sumu sana wazee.
Hakuna kitu special sana ambacho unatakiwa kuwa nacho ili uwe katika idara ya usalama.
Endelea kujifariji kwa kukurupuka !!!Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
Usiamini kila unachokiona au kusikia.Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
Ofisi ya Rais wa WCB labdaPole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
Kwa nini unataka kazi huko?Nina jamaa yangu fundi wa magari huko hata mimi nilitakiwa niwe huko