Jinsi ya kupata kazi TISS

kuna kijana mmoja ni usalama yupo kusini mwa nchi, kwao kanda ya ziwa. alifeli f4 na alarudia akafeli tena na baadae baba yake akahonga pesa ndefu kwa mshauri wa mgambo akapata nafasi jkt.... akalinda merelani na kuibukia kitengoni.

na mwingine simjui vzr, lakini tulifanya nae kazi za kitaifa eneo Fulani.... ni mweupe kichwani kuliko wengi mnavyowafikiria.

kwa mifano hiyo niwatoe wasiwasi mnaowawaza kuwa wanakitrngo wana akili ya ziada sio kweli, ni mchanganyiko kama kada zingine.

na kupata uongozi huko ni mchingo pia, vinginevyo utakesha unadukua wabunge au kulinda kwa waziri. wenye connection wamejichimbia huko kkwenye mitonyo zaidi.

hitimisho: wanakitengo ni watu kama ulivyo wewe
 
hahahha
 
kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..

hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
We unakusumbua ujuaji, TISS kuna watu wa kawaida kabisa, kikubwa ukizi vigezo vyak. Wakati mwingine wanachukua watu JKT, unataka kuniambia JKT wa kujitolea wanaenda vipanga? Wengi kule wanaenda plan B. Kingine kama unamjua mtu m1 kipanga yupo tiss basi kakutambia tu, maana kuna watu wapo kule na elimu zao za kawaida tu za kuunga unga. Acha ujuaji.
 
Hamna hata marafiki walioko huko TISS mpaka muendelee kulishana matango pori?

Usalama mpka la saba wapo mzee.

Wanazingatia wanataka nini, kuna mavilaza mengi yapo kule pia
 
Nina jamaa yangu fundi wa magari huko hata mimi nilitakiwa niwe huko
 
kuna kijana mmoja ni usalama yupo kusini mwa nchi, kwao kanda ya ziwa. alifeli f4 na alarudia akafeli tena na baadae baba yake akahonga pesa ndefu kwa mshauri wa mgambo akapata nafasi jkt.... akalinda merelani na kuibukia kitengoni.

na mwingine simjui vzr, lakini tulifanya nae kazi za kitaifa eneo Fulani.... ni mweupe kichwani kuliko wengi mnavyowafikiria.

kwa mifano hiyo niwatoe wasiwasi mnaowawaza kuwa wanakitrngo wana akili ya ziada sio kweli, ni mchanganyiko kama kada zingine.

na kupata uongozi huko ni mchingo pia, vinginevyo utakesha unadukua wabunge au kulinda kwa waziri. wenye connection wamejichimbia huko kkwenye mitonyo zaidi.

hitimisho: wanakitengo ni watu kama ulivyo wewe
Pesa ipo ?
 
kwenye kila kitu kuna njia, ukiangalia watu wanaofanya kazi TISS 90% ni vipanga ,wachcahe sana ndio waingia kwenye hilo kundi lingine..

hawa jamaa hawachukui mbumbumbu
Kuna wengine unajiuliza huyu kapatajae hiyo post !!!?? (Full incompetent).
 
Please elaborate so brainwashed minions can understand your statement precisely
TISS inakuzwa kinyume na uhalisia.

Hiyo ni idara ya usalama kama idara zingine zilivyo tu.

Tena kisiniority kwa majeshi inaaza JWTZ kisha POLISI kisha inakuja USALAMA na majeshi mengine huko chini.

Kwa maana hata kisiniority tu ni ya tatu kutoka pale juu.

kwa maana idara seniour inaweza kutoa mtu akawa kiongozi wa idara ya juniour.

Hii ina maana ya kuwa usalama ni idara kama zingine na zinafanya kazi kwa utaratibu.

Hakuna kitu kikubwa cha kuwadanganya watu hapa mtandaoni.

Hakutakiwi kipanga ili uwe huko unachotakiwa ni akili timamu na vigezo vya jumla utimize na bahati ikuangukie.
 
Kuna wengine unajiuliza huyu kapatajae hiyo post !!!?? (Full incompetent).
Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
 
Acheni kudanganyana wazee.

Sifa ambazo unatakiwa kuwa nazo ili uwe polisi,jeshi nk ndizo sifa hizo hizo mtu anatakiwa kuwa nazo ili awe usalama.

Sema kimtaamtaa tunalishana sumu sana wazee.

Hakuna kitu special sana ambacho unatakiwa kuwa nacho ili uwe katika idara ya usalama.

Upo sahihi mkuu,,, watu wanakatwa mabogi kienyeji tu huko Jkt na kupelekwa TISS wala hakuna jipya training ndiyo itaselect huko huko automatically. Ni zali la mentali tu yani.
 
Pole kumbe hujui hii kazi inawatu kusoma nakuandika hawajui shughuli zao ningumu zahatari nawakithibitisha Jambo hawajakosea kilasiku nikikaa nae ananiambiaga nisevie hii namba kwenyesimu hajasevu jinahatamoja lakini Yuko ofisi ya rais nikikaa nae Kama tunakula pombe naendaga chooni nacheeeeeka narudi nakaa badala nikojoe naenda kicheka............kwa kukariri hawajambo na hupewa maeneo yakufanyia kazi changanyikeni na maeneo yenye miradi mikubwa ya serikali. Wanalimaga Hadi kulima anauza mboga jioni asb Kama kawaida kazini
Endelea kujifariji kwa kukurupuka !!!
 
Usiamini kila unachokiona au kusikia.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ofisi ya Rais wa WCB labda

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom