Jinsi ya kupata kazi TISS

Alaaah kumbe koneksheni muhimu..

Okay.. ngoja nijipendekeze sasa.. nawajua kadhaa mmoja aliwahi kuwa mlinzi wa waziri fulani saivi naona kawa mbunge.. na kuna mzee mmoja ivi ila kwa sasa ni marehemu naona kaingiza mtoto wake wa kike humo
ukijipendekeza ndio njia ya kukujua, we si unakumbuka "DAB" aliwahi kumfunga kamba za viatu mtoto wa "JK"? au umesahau?
 
Alaaah kumbe koneksheni muhimu..

Okay.. ngoja nijipendekeze sasa.. nawajua kadhaa mmoja aliwahi kuwa mlinzi wa waziri fulani saivi naona kawa mbunge.. na kuna mzee mmoja ivi ila kwa sasa ni marehemu naona kaingiza mtoto wake wa kike humo
We usiende kwajinsi ulivyo aisee mbona kuna watu tutajikuta tunabinywa pasipo sababu..🤣
 
Nje ya mada.
Wakuu naomba niulize swali,hivi tiss awahusiki kwenye kunusa au kufanya ushushu kwenye utoroshwaji wa rasilimali za nchi,au wao ni mambo ya usalama wa nchi tu?
 
wapo kila sehemu hata nyumbani kwenu yawezekana mnaishi maisha ya tabu sana lakini BABA YAKO NI TISS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom