Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Hakuna formula kwenye mavazi ya ME mwenye pesa. Siku anaweza kupiga pamba za nguvu sana zile za kustua, siku nyingine akapiga sports wear siku nyingine nyuku nyuku tu kisela. Inachosha kuvaa style moja kila siku.
Sina pesa ila binafsi nina uniform dress code kila siku navaa tee shirt nyeusi plain (round neck), jeans nyeusi na kiatu wallabee clarks (marple suede & black). Huu ni mwaka wa tatu kila siku navaa hivi hivi tu.

Hapo nilipo-bold naona kama ni kinyume chake ni rahisi zaidi nikienda ktk clothes closet siumizi kichwa leo navaa nini au nguo ya rangi gani maana ninazo za aina moja tu. Nachukua safi navaa tayari kwa kuendelea na shughuli zingine.
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Utapenda wangapi?
 
Sina pesa ila binafsi nina uniform dress code kila siku navaa tee shirt nyeusi plain (round neck), jeans nyeusi na kiatu wallabee clarks (marple suede & black). Huu ni mwaka wa tatu kila siku navaa hivi hivi tu.

Hapo nilipo-bold naona kama ni kinyume chake ni rahisi zaidi nikienda ktk clothes closet siumizi kichwa leo navaa nini au nguo ya rangi gani maana ninazo za aina moja tu. Nachukua safi navaa tayari kwa kuendelea na shughuli zingine.
Mbona kama nakufahamu we mtu.unagari flani hivi ya kibabe sana labda kama umebadilisha
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Kahaba katika ubora wake
 
Nenda K/koo uone wakinga wanavaa makatambuga ya matairi au mayebo yebo ya elfu mbili ,pensi la mtumba la buku mbili ,shati lonya longa sagula sagula mezani kwa 500 halafu ana floor 10 kazisimamisha.
Kuna muhindi mmoja young anavaa zile yebo za matobo na jinsi zake za 10000 anasimamisha floor 10. Halafu hana habari😃😃
 
Shida ni kwamba, anaweza kuwa na mpunga mrefu ndio lakini je ni mtoaji/mhongaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom