Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear.

Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zako za kumpata 😉
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Msafala wa mamba na kenge wamo...!!!Jichanganye uishie kukopwa..!!
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Yule mwanaume wa misri mlifika wapi? Ulimpata?
 
Mbinu za ukahaba hizi unakuja kufundisha hadharani...

Wenzio wa buza wanadanga ..
Na wewe huko Canada unawaza kudanga..
Hata kuishi First world umekosa opportunities zote unawaza kudanga?
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Mnawinda kama wanyama wakali.
 
Right on the spot! 100%. Ukiwa hauna pesa unawaza kuvaa kama sehemu ya kustiri umasikini wako huko nje. Ukishazipata $ kuvaa siyo kipaumbele tena. Unavaa ili kujistiri tu. Siyo kuwaonyesha watu wengine. Kipaumbele ni pesa yenyewe, siyo mavazi. Kwa akina mama ni tofauti.
Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom