Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

Mbinu za ukahaba hizi unakuja kufundisha hadharani...

Wenzio wa buza wanadanga ..
Na wewe huko Canada unawaza kudanga..
Hata kuishi First world umekosa opportunities zote unawaza kudanga?
Mimi si dangi nina mtu wngu ambae npo engaged nae
 
1.hawaongei sana
2.mziki hawachezi kama mastedshoo wanacheza kama hawataki na wengi hawajui kucheza hizi dancing style za kisasa
3.Huwa hawadumu na mademu waomba omba hela coz wanataka wajitolee wao wenyewe.
4.wanapenda kuvaa mapensi
 
Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]

Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Ahsante kwa madini lakini Mimi hua namjua Kwa kuangalia kiatu chake tu [emoji3526]
 
ME wengi tunaona KE wanaopenda kuomba omba pesa ni kama wauza K tu wa kona bar ila wanaona aibu kwenda kujiuza kona bar. Hawana mapenzi ya kweli na wanaume hadi hata watano au zaidi kisa kuwapiga mabomu tu. Hata kama ME alikuwa na penzi la kweli linapotea kabisa,

Hela LAZIMA iombwe badae once ur stable
Otherwise ur cheap na Bwana hajui majukumu
 
ME wengi tunaona KE wanaopenda kuomba omba pesa ni kama wauza K tu wa kona bar ila wanaona aibu kwenda kujiuza kona bar. Hawana mapenzi ya kweli na wanaume hadi hata watano au zaidi kisa kuwapiga mabomu tu. Hata kama ME alikuwa na penzi la kweli linapotea kabisa,
Ni kweli
Na ndo mana mwanamke kama unataka pia upate mapenzi na sio pesa tu
U have to restrain upande wa hela kwa muda
Ujue haiba ya Bwana kwanza

if he loves you..u can have a lifetime for that..plus a really good relationship
 
Right on the spot! 100%. Ukiwa hauna pesa unawaza kuvaa kama sehemu ya kustiri umasikini wako huko nje. Ukishazipata $ kuvaa siyo kipaumbele tena. Unavaa ili kujistiri tu. Siyo kuwaonyesha watu wengine. Kipaumbele ni pesa yenyewe, siyo mavazi. Kwa akina mama ni tofauti.
Kweli wanavaa simple ila wanapendeza sana. mwanaume mwenye pesa hta akivaa majani anapendeza tu 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom