jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Huyo Mtu ana pesa!?Mimi si dangi nina mtu wngu ambae npo engaged nae
Huyo Mtu ana pesa!?Mimi si dangi nina mtu wngu ambae npo engaged nae
🤣🤣🤣na yebo chini
Hela ya kudanga ni ngumu,unakuta unaitumia huku unakumbuka ulivyobanwa kwenye chaga!Huu utafiti wako umetumia sample ya watu wangapi? Na ulivojaribu love tactics zako uliwapata?
Hivi kama tukiamua hatuwezi kupambana kutafuta pesa zetu wenyewe hadi tumendee pesa za watu wengine na si upendo 🤔
Right on the spot! 100%. Ukiwa hauna pesa unawaza kuvaa kama sehemu ya kustiri umasikini wako huko nje. Ukishazipata $ kuvaa siyo kipaumbele tena. Unavaa ili kujistiri tu. Siyo kuwaonyesha watu wengine. Kipaumbele ni pesa yenyewe, siyo mavazi. Kwa akina mama ni tofauti.
Hapo ndipo tunapishana mtazamo, ukitaka kujua nani anapesa nani hana kuwa na zako, kuwa mwanamke mwenye kupiga chako, trust me utawaona wengi tuuuuu,tena wanakuja wenyewe, hutahangaika kuangalia vazi la mtu.
Ni kama samaki na majiWanaume wamesha kuwa bidhaa mhimu kwa mwanamke
Ila pesa na mwanamke ni matumaini ya milele
Kuvaa ni hobbie kama hobbie nyinginezo
Hata hobby (siyo hobbie) hubadilika kulingana na uwezo wa kifedha. Wanaume wenye pesa wanacheza golf na wala siyo michezo mingine. Fahamu hilo. Kuvaa siyo hobby. Watu masikini ndio hupenda ku-dress up. Watu wenye pesa zao wanavaa kawaida tu - Bill Gates, Mark Zuckeberg, Warren Buffet, nk.
Kama unapinga basi pingana na mtoa mada. Siyo mimi. Mimi nimemsapoti tu mtoa mada - kwa uzoefu wangu wa umasikini na utajiri wangu mwenyewe.
Kuna watu wana hela na kuvaa siyo kipaji anajivalia chochote tu.
Afu wanapendaga kula karanga za maganda na supu ya pweza au mihogo mibichi na nazi mbizi mixa vumbi la kongoUkitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo [emoji102]
Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata [emoji6]
Wa ngapi huyo? 😂😂😂 maana toka umevunja uongo ni ktambo kirefu kidogo bibie!Mimi si dangi nina mtu wngu ambae npo engaged nae
Hawatongozagi maisha yako yote wanaibuKama akipenda kweli anatongoza
Umesahau anakula fegi mingi mno 😂😂😂Kuna muhindi mmoja young anavaa zile yebo za matobo na jinsi zake za 10000 anasimamisha floor 10. Halafu hana habari😃😃