my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #41
Kiatu chake kinakuaje?Ahsante kwa madini lakini Mimi hua namjua Kwa kuangalia kiatu chake tu [emoji3526]
Kiatu chake kinakuaje?Ahsante kwa madini lakini Mimi hua namjua Kwa kuangalia kiatu chake tu [emoji3526]
Inategemea amekuja vipi. Kama amekuambia umkopeshe unamkopesha huku ukijua hutomdai na km kweli akirudisha unaweza ukakataaKwani kaka yako au baba yako unaweza "mkopesha"..!?
Ni kweli
Na ndo mana mwanamke kama unataka pia upate mapenzi na sio pesa tu
U have to restrain upande wa hela kwa muda
Ujue haiba ya Bwana kwanza
if he loves you..u can have a lifetime for that..plus a really good relationship
You have lost the whole point..!!! Kwani huyo mwanaume mwenye hela unataka umjue ili iweje..!? Si ili ukiwa naye kila ukizitaka anakupa lakini wakati huo mbususu anainyandua na hutalalama kwa vile anakupa hela..!! Akiinyandua bila kukupa hela hapo hapo maana yake umekomkopesha mbususu..!! Noww, back to the question, BABA AU KAKA YAKO UNAWEZA "MKOPESHA" MBUSUSU.!?Inategemea amekuja vipi. Kama amekuambia umkopeshe unamkopesha huku ukijua hutomdai na km kweli akirudisha unaweza ukakataa
Me nayevaaga ndala nimo??Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀
Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Na ukianza kumuomba pesa usiwe unamuomba mara kwa mara. kama una shida ndogo ya pesa jaribu Ku solve mwenywe bila kumuomba akusaidie pesaRule Number 1 to last with that Man
USIOMBE HELA MAPEMA..
Wanaume wenye pesa huwa hawaoni tatizo kuvaa nguo aina moja from one season to another season 😂 Hata akibadilisha bado utakuta anabaki hata kidogo pale pale kwenye sportswear habadiliki sanaHakuna formula kwenye mavazi ya ME mwenye pesa. Siku anaweza kupiga pamba za nguvu sana zile za kustua, siku nyingine akapiga sports wear siku nyingine nyuku nyuku tu kisela. Inachosha kuvaa style moja kila siku.
5. Wanapenda wanawake wanaojiamini hawapendi wanawake wenye adabu ya kuogopa1.hawaongei sana
2.mziki hawachezi kama mastedshoo wanacheza kama hawataki na wengi hawajui kucheza hizi dancing style za kisasa
3.Huwa hawadumu na mademu waomba omba hela coz wanataka wajitolee wao wenyewe.
4.wanapenda kuvaa mapensi
Wanaume wenye pesa huwa hawaoni tatizo kuvaa nguo aina moja from one season to another season 😂 Hata akibadilisha bado utakuta anabaki hata kidogo pale pale kwenye sportswear habadiliki sana
Bro umeisoma hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya simba, mnyama hatari ni mwanamke, kama huamini ukifika kuzimu imuulize Zungu alichofanyiwa na NeemaMnawinda kama wanyama wakali.
Utajua hujui 😅😅😅Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics, under armour na nyinginezo 👀
Kama unapenda wanaume wenye pesa ukiona mwanaume anavaa sportswear unaweza kuanza love tactics zko za kumpata 😉
Yeah hawapendi wanawake ambao wenye adabu za kisabato5. Wanapenda wanawake wanaojiamini hawapendi wanawake wenye adabu ya kuogopa