Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
- Thread starter
- #161
Kakojoe ulale.......Unapenda kuolewa eeh?
Kakojoe ulale.......Unapenda kuolewa eeh?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Najaribu hii mbinu leo nitatoa mrejesho.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] auwi ngoja nilale, usiku mwema Lee
Acha kupotosha wewe..... Simu yako itumie hata kusoma kwenye internet humo sio kutoa Comment za povu la jiki tuu.......Msikimbilie kufanya hayo mautundu kwa papara unaweza usiamke asubuhi,ushauri wangu,ukisha tengeneza huo mchanganyiko kama una Paka,Kuku au Mbwa mfungie humo chumbani mpaka asubuhi akiamka salama na wewe uko salama sasa kulala na hiyo dawa...
Habari tupe mrejesho.....Najaribu hii mbinu leo nitatoa mrejesho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ni darasani! Wewe ulikuwa form four D'
Mambo mengine unawezacheka cku nzima.Ukilala uchi Mbu hakufuati ng'o... [emoji23]
KaribuAsante kwa maarifa hayo.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Subscribed
Najaribu hii mbinu leo nitatoa mrejesho.
Haya madawa hayakosi side effects!!!Kwa maana hiyo hii dawa inawafanya mbu kuwa busy usiku kucha wanakimbia harufu na ww unatumia chance hiyo kuchapa usingizi.
Ni sehemu ya side effects ila kikubwa ni kukaribisha wasioonekana kwa Ile harufu ya ndimu+karafuuUsitumie ndimu/limao au kitunguu kilichokatwa kikaa muda bila kutumiwa ni sumi hatari kwa mwili wako.
Jenga tabia ukikata limao au kitunguu utumie kiishe