Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
- Thread starter
- #141
Tunasubiri na mrejesho wako piaa...Asante kwa mrejesho
Tunasubiri na mrejesho wako piaa...Asante kwa mrejesho
Forex ipi unazungumzia (foreign Exchange au)???????????forex ilianza hivihivi
Limau/ndimu, maana yake ni:- 'Limau au ndimu', sasa,vinapinganaje ?Mkuu umesema Limao/Ndimu? Picha na maelezo mbona vinapingana.
Wewe tumia kama itakufaa.. Acha maswali ambayo hayana msingi.Ni utafiti umefanyika au ulienda kwa mtaalamu wa tiba mbadala?
Tumia limao au ndimu. Nini hapo huhaelewa mbona una kichwa kigumu.Limau/ndimu, maana yake ni:- 'Limau au ndimu', sasa,vinapinganaje ?
Duu jamaniMbona hamna mbu alienasa kwenye hiyo picha?
Mkuu hutaki kuulizwa?Wewe tumia kama itakufaa.. Acha maswali ambayo hayana msingi.
Kwasababu sitaki kujibu [emoji102] [emoji102] [emoji102]Mkuu hutaki kuulizwa?
Weka Limao + Karafuu...Mkuu hutaki kuulizwa?
Hiyo kiboko mkuu mbu si wataumwa mafuaWeka Limao + Karafuu...
Lala uchiiii mmbu hatakugusa.
Haya mtafiti,besiti wisheziKwasababu sitaki kujibu [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Kama umeolewa/oa ndugu mtafiti kulala ivyo utakuwa umezoeaWeka Limao + Karafuu...
Lala uchiiii mmbu hatakugusa.
Utawasikia usiku wakipiga chafyaaHiyo kiboko mkuu mbu si wataumwa mafua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mtafiti,besiti wishezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poa poa ntakuoa usijaliiiKama umeolewa/oa ndugu mtafiti kulala ivyo utakuwa umezoea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] auwi ngoja nilale, usiku mwema LeeUtawasikia usiku wakipiga chafyaa
Unapenda kuolewa eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] poa poa ntakuoa usijaliii
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Unapenda kuolewa eeh?