Hapo ni kutafuta Dawa ya kuwafukuza wasiojulikanaHaya madawa hayakosi side effects!!!
Hapo ukute harufu ya ndimu/limao+Karafuu inafukuza mbu then inakaribisha majini ndani kwako.
Hapo ni kutafuta Dawa ya kuwafukuza wasiojulikanaHaya madawa hayakosi side effects!!!
Hapo ukute harufu ya ndimu/limao+Karafuu inafukuza mbu then inakaribisha majini ndani kwako.
Kasema wananasa au wanafukuzwa? Soma kuelewa si kujibu swaliMbona hamna mbu alienasa kwenye hiyo picha?
We unataka uone wanapokwenda ama wasikudhuru?Chumban...serious???
Ebu mkuu fanyia utafiti zaidi hilo eneo, kwamba wakifukuzwa wanatakiwa kwenda wapi?
Vipi mkuu uliendelea kujaribu haya mautundu na kupata matokeo mazuri?Kama nilivyoahidi kweli nilifanya jaribio kama ilivyoelezewa. Sikufanikiwa kwa maana bado niliona mbu wakizunguka zunguka karibu na baadhi kuniuma. Ila sitopenda kuamini moja kwa moja kua imefeli kwa sababu karafuu niliyotumia niliipata tuu gengeni uswahilini huku na kidogo haikua na harufu kali,, ila nitajaribu tena kwa kutafuta karafuu nzuri zaidi.
Kufukuza Mmbu.Hiyo ni ya kuita au kufukuza mbu!!!!
CC. Mshana JrInasaidia pia kufukuza WACHAWI
CC.Mshana Jr
Kwani umeambiwa watanasa...Mbona hamna mbu alienasa kwenye hiyo picha?
Utaliwa kimasihara wewee!!Ukilala uchi Mbu hakufuati ng'o... [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utaliwa kimasihara wewee!!
Bado hawajalifanyia kazi nadhani Wana model Yao ya kupata ngawila.Ni Kweli kabisa ndugu ni moja wapo ya fursa na watu kujichanganua na kuelewa mambo mbali mbaliiii....
Administration ya JF inabidi walifanyie mchakato hilii....
😔😔😔😔😔😔Bado hawajalifanyia kazi nadhani Wana model Yao ya kupata ngawila.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kwani umeambiwa watanasa...