Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
- Thread starter
- #121
OkKufukuza ni repel
OkKufukuza ni repel
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mkuu nakushukuru kwa dhamira yako hii, jana nikiwa katika kuwajibika nilitoka mitaa ya network. Baadaye niliisaka karafuu na kuipata.
Natumia fursa hii kukushukuru kwa dhati kabisa. Ahsante sana, na inafanya kazi vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo maana tunaotumia konyagi hatungatwi na mbu
Washirikishe ndugu jamaa na Marafiki piaaaShukrani kwa mrejesho ndugu yangu. Siku ukihitaji tuwasiliane tu.
Ubarikiwe sana na nikutakie siku njema.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Dah! afadhali nitasave 8,500 ya kununua rungu kila baada ya siku 5!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kazi kwakoooo
Kuna Baadhi ya watu wameshafanya na wameleta mrejesho.Sasa ole wako isifanye kazi! wallah nitakuja kwako usiku😉😉😉😉😉
Sawa Sawa.....Mkuu asante sana ungeshea kwenye whatsup pia ili tuwaponye wengi
Tueleze Umetumia Malimao. Mangapi..? Na wengine Wasom ushuhuda.Mkuu nakushukuru kwa dhamira yako hii, jana nikiwa katika kuwajibika nilitoka mitaa ya network. Baadaye niliisaka karafuu na kuipata.
Natumia fursa hii kukushukuru kwa dhati kabisa. Ahsante sana, na inafanya kazi vizuri.
UmeuaUkilala uchi Mbu hakufuati ng'o... [emoji23]
Ndio ruksa kulala uchiikwa hiyo nikiweka,hamna haja ya kutumia net tena?
Hahahahaha mmbu wanajua ni mtego ukilala uchi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeua
Umenifurahisha sana mkuu...Kwani aliingilia wapi?
Hii naona kama ni rahisi zaidNjia nzuri sana. Nyinhine hii: weka majani ya mchaichai kibunda kimoja chumbani. Mbu watahama nyumba!
Kumaliza tatizo, panda Mchaichai kama Maua kuzunguka nyumba. Matokeo yake utayapenda!
Ok itumie piaaaHii naona kama ni rahisi zaid
Asante kwa mrejeshoUkosahii 100 pacenty miminimejalibuleo hakunammbu kabisanalala bilanet
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Asante kwa mrejesho
Pamoja mkuu...afya kwanzaOk itumie piaaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Pamoja mkuu...afya kwanza