Mpaka pale limao lako litakapo pata fungus. Binafsi hua natoa asubui na kuweka kwenye fridge.Asante kwa ku-share! Nitafanya majaribio. Hata hivyo hiyo ndimu/limao ukishachomeka hizo karafuu muda wa kuisha kazi ni siku ngapi?
Chumban...serious???Wanatafuta chimbo ambapo hawaisikii Kabisa. Hvyoo watakaa mbali sanaa...
Wanakimbilia pale ambapo harufu haiwafikii kabisa/ au ambapo pana afadhali kwenye hyo harufu. Mfano, Chini ya uvungu kwenye mlundikano wa nguo etc.Chumban...serious???
Ebu mkuu fanyia utafiti zaidi hilo eneo, kwamba wakifukuzwa wanatakiwa kwenda wapi?
Asante Mkuu. Ingewezekana, JF ingeanzisha jukwaa la DIY(Do it yourself) na teknolojia kama hizi zikisha kuwa verified zina wekwa pale. Idadi ya wafuatiliaji wa JF wangeongezeka. Nadhani moderators, wata nisikia. Yaani hiyo page nina uhakika ingepata matangazo ya biashara ya kutosha ili kuingiza kipato kwa JF.Mpaka pale limao lako litakapo pata fungus. Binafsi hua natoa asubui na kuweka kwenye fridge.
Wanakimbilia pale ambapo harufu haiwafikii kabisa/ au ambapo pana afadhali kwenye hyo harufu. Mfano, Chini ya uvungu kwenye mlundikano wa nguo etc.
Hvyo ukija kufungua mlango / madrisha kama ni siku nyingine
wataondoka na kupotea moja kwa moja.
Kwa maana hiyo hii dawa inawafanya mbu kuwa busy usiku kucha wanakimbia harufu na ww unatumia chance hiyo kuchapa usingizi.Rejea kichwa cha habari ndugu. (Kufukuza) Kwa lugha ya kingereza wanaita (repellant)
Ni Kweli kabisa ndugu ni moja wapo ya fursa na watu kujichanganua na kuelewa mambo mbali mbaliiii....Asante Mkuu. Ingewezekana, JF ingeanzisha jukwaa la DIY(Do it yourself) na teknolojia kama hizi zikisha kuwa verified zina wekwa pale. Idadi ya wafuatiliaji wa JF wangeongezeka. Nadhani moderators, wata nisikia. Yaani hiyo page nina uhakika ingepata matangazo ya biashara ya kutosha ili kuingiza kipato kwa JF.
Mfano, ulale chumba ambacho ni jirani na jiko linalotoa moshii mwingi na unaingia ndani. Moshi unakukera umefanya kila namna imeshindikina, pengine utavumilia au utakimbia na kuondoka eneo hiloo...Kwa maana hiyo hii dawa inawafanya mbu kuwa busy usiku kucha wanakimbia harufu na ww unatumia chance hiyo kuchapa usingizi.
Usitumie ndimu/limao au kitunguu kilichokatwa kikaa muda bila kutumiwa ni sumi hatari kwa mwili wako.hii dawa nzuri asubuhi unang'oa kalafuu unachemshia chai halafu ukimimina kwa kikombe unongeza limau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukilala uchi Mbu hakufuati ng'o... [emoji23]
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji41] [emoji41]Mbona zinacost kuliko za kununua dukan?
Du, kwenye chai tena, mbu umewasahau tena.hii dawa nzuri asubuhi unang'oa kalafuu unachemshia chai halafu ukimimina kwa kikombe unongeza limau
Wee..! Jaribu kama hujakuta wamekutafuna haswa na kwa wale wa vimaji maji vya paleeee... utakuta wamejazana.Ukilala uchi Mbu hakufuati ng'o... [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee..! Jaribu kama hujakuta wamekutafuna haswa na kwa wale wa vimaji maji vya paleeee... utakuta wamejazana.
Ujaribu ulete mrejesho na wengine watumie.nimeelewa
Ujaribu ulete mrejesho na wengine watumie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MCHUZI WA KONYAGI.??? hapo mkuu walevi umewachanganya