Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Fungua PM bwana, nina ujumbe maalumu kutoka kwa senior advisor (SE)
makini sanaaaaaa 😂😂😂Hahahahah
Sasa hivi naona upo makini sana
Umejuajw yuko vzr MkuuMbona uko vzuri tu
Sasa izo mbinu ukianza kutumia saizi mabebi watakaza maana jamaa ameshawashtua[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ushaambiwa huko mbinu zote na Evaa
Mbaya wewe.
Hahaha da mange hide my ID, hatumtaki mama Mchungaji wetu na mafile yake ni haya hapa kama hataki kujiuzulu khaaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanaenda kuhide I'd zaooo
unadhani kuna mwingine kama si wewe maana ulinikataa hadi nikastop miezi miwili kutupia ndoanoKwa nani tena KK kama mm we nipe mahela tu tena mengi mengi
Pesa mbeleNa uwe chambichambi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nani tena KK kama mm we nipe mahela tu tena mengi mengi
Huwajui walioko vzr etiii!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbona uko vzuri tu
Wenye vitambi ndo wana mahela haoo...Mie nakitambi hiki ,mtanitesa sana
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] hamu zako unabaki nazoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki kupasikia siyo watu wazuri wale.. nikienda tena mbwembwe zote mfukoni [emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tena kujifanya mjuaji wa miji ya watu
Hiyo ishu Raynavero alithbitisha ni yeye kweli,, ndo maana mie nikaaminiIssue ya mumu ulishikilia bango sana kumpa I'd ambayo sio yake atumie I'd nyingine ili iweje kwa mfano basi ukamuo'a tena ukamquote kuhusu I'd ndio mana kuna siku ukamquote tena akakujibu vibaya watu hawapo hivyo jamani wengine hawapendi drama humu za I'd mbili sijui
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]binamu bwanaaAnza na muamala basi, na mimi nitoe gundu khaa
Mkuu mnaoongeaga hivi ndo inakua kinyume chakeNapambana na umbo langu La sanamu la micheliniii
nimekumbuka na wewe upo kwenye list yangu nilitumia hizi mbinu nikaangukia pua kwenye back up id yangu😎[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I missed you too Yemi alade..I miss you Johnny...
Tuma tu hela kakaa!!usitubanieeSasa izo mbinu ukianza kutumia saizi mabebi watakaza maana jamaa ameshawashtua
Huoni upaja ulivojaa supu?Umejuajw yuko vzr Mkuu