Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
..hii reply itakula like nyingi kwa sababu ndio ukweli wa sasa
 
Back
Top Bottom