Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hahahha mama mchungaji upati picha kabisa litakavyokuwa na muumini mm

Ameen [emoji120][emoji120] na tubarikiwe sote mama angu
Jamani jamani muumini (teh sipati picha hilo kanisa), kamessage kako kameugusa mno moyo wangu. Nakupenda pia na Damu ya Yesu iendelee kunena mema juu yako
 
"Wapo wanaocheza na muhamala, wapo wanaocheza na likes" [emoji23][emoji23][emoji23] haki vile duniani hakuna usawa
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] chagua unapofit sasaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom