Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaza tu ungebadilishiwa kibao na dushe liwe active
nakumbuka kiingereza chake kibovu aliniuliza "how would you like it.. you take it first or am all yours" hii sentensi hadi kesho inatia ukakasi lile lilikuwa active lilitaka zamuzamu ..daaaah jimmie mimi nchi ya watu sijui nani angenitetea 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom