Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
😂😂😂😂Woyoooooooooo
Nitake nn shunie mm babe insta
Kabla haujazama mm nitakuja mwenyewe![]()
😂😂😂😂Woyoooooooooo
Nitake nn shunie mm babe insta
Kabla haujazama mm nitakuja mwenyewe![]()
Alafu we huwa unaonaga nnapotereza ila hunistui,Tena
Ukae kimya hivyo hivyo
Sema tu kuna siku unazingua ujue
huelewi nn jamn dada angu
nawapenda mabinti wa jf
Kuna ishu moja ile iliyoleta taharuki,,
Kwahiyo unanionea wivu au mbona sikuelewi ww dadaU bebe na shunieeeeee!!!
yaliyonitokea kule kwakweli siku hizi nimekuwa mpole na kama sehemu ndiyo mgeni siijui vizuri yani ndio huwa sileti mbwembwe kabisa nafata kilichonipeleka then nasepa..... lile tukio lakujua nimepata bebe alafu nakutana na dushe lilinibadilisha sana 😂😂😂Halafu babe insta acha kujaribu jaribu kila kitu unataka kujaribu
Hapana mara ya pili ulivyoteleza nilikuwa sipo jf ila salaam zako nilizipata sanaAlafu we huwa unaonaga nnapotereza ila hunistui,
Hapana naumia kaka angu anaibiwa huku naona!!!Kwahiyo unanionea wivu au mbona sikuelewi ww dada

she z my insta bebe 😂😂😂U bebe na shunieeeeee!!!
I miss you Johnny...Your Johnny is here sweetheart
Dingi kijana Mkuu ,wenyewe wanaita Mzee kijana,sipitwi na kituMtu chake hiyo avatar nahisi bonge la dingi

Hakika mimi kwenda pm nipo fasta na sioni shida kutuma picha zangu ila wadada wa jf wengi wao hawajiamini wanaogopa kutuma picha sababu wengi wao uzuri wao upo kwenye id fake na avatar![]()
nawapenda mabinti wa jf
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!






nawaza tu ungebadilishiwa kibao na dushe liwe active
yaliyonitokea kule kwakweli siku hizi nimekuwa mpole na kama sehemu ndiyo mgeni siijui vizuri yani ndio huwa sileti mbwembwe kabisa nafata kilichonipeleka then nasepa..... lile tukio lakujua nimepata bebe alafu nakutana na dushe lilinibadilisha sana![]()
😂😂😂😂 sawaaa insta babeBabe insta asielewe hivyohivyo
Wapi tena?Hapana mara ya pili ulivyoteleza nilikuwa sipo jf ila salaam zako nilizipata sana
Hapana naumia kaka angu anaibiwa huku naona!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()