Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Sidhani kama inafanya kazi,maana nshamwaga like kama elfu moja kwako ila bado naambulia patupu!Kwenye likes nimecheka sana daah!
Sidhani kama inafanya kazi,maana nshamwaga like kama elfu moja kwako ila bado naambulia patupu!Kwenye likes nimecheka sana daah!
Nikirudi Kenya nitaijibuHalafu wewe una PM yangu kipindi kile tuko Kenya hujaijibu.
Ujumbe wangu ili niupate Don mtumie Mzigua90 au Raynavero ujue hao wataniletea WhatsApp sababu beingsingle lazima ni pm na mm siitumii
Salama kabisa...kwako jeMkuu myoya habari yako
Haya maneno ya jukwaani na huko mafichoni tofauti. Za kuambiwa changanya na zako.Hahaha, natamani hii kitu ifanyike haraka sana
Ulianzia Tanzania, ukamfata na Kenya inabidi umpeleke Dubai mkaongelee huko
bro wangu alinijengea sana kujiamini... mbele ya hawa viumbe...Alikuwa na usemi "UKICHEKA na NYANI utavuna MABUA" alaf alikuwa na kiupepo cha kupata madem.. yaan wanakuja wengine nyumbani wanajifanya kupikapika pale.. yeye akirudi kutoka job anawatimua na fimbo..😂😂😂😂😂
Network gani ?Sio kila Pm zinapelekea mahusiano. ...nyingine nikuunda network kwa ajili ya mambo mengi nje ya Mahusiano...
Usiwe Mwoga sana....
SawaThat's a friend like au friendship nalipia nusu ya lovers hahahahahah
@ShunieMkuu Jabe
You make me laughWazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
uko funny, wenzio wamepewa techniques wewe unawapeperushia ndege, vibaya hivo Evelyn.Nakuelewa Mzee wa VARHaya maneno ya jukwaani na huko mafichoni tofauti. Za kuambiwa changanya na zako.
Wewe utabaki ?Siku Virus akishambulia JF na PM zote zikawa PUBLIC ni IDs chache sana za zamani zitabaki humu.
Mbaya wewe.Kasie Mahaba. .....
Wanajua PM wa natumai njia zote alizosema mtoa mada ila ikifika kwenye kutoa namba..... naanza kuumwa hehehehehheee.
Hamna nlikua nafanya maboresho ya techniqueYou make me laugh![]()
![]()
uko funny, wenzio wamepewa techniques wewe unawapeperushia ndege, vibaya hivo Evelyn.
Salama kabisa...kwako je
@Shunie
Siku Virus akishambulia JF na PM zote zikawa PUBLIC ni IDs chache sana za zamani zitabaki humu.
nacheka km vyoteeeee!!!sanaaaaaa