Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Kuna Mambo Yanatia Hasira Sana inakulazimu utukane tu,Kwa Mfano swala la Kukatazwa kuvaa Tshirt,Kuzungumzia Njaa,Kuzungumzia Faru John,Hukuna kufanya siasa ,Katiba kuvunjwa mchana kweupe etc
Bora utumie nguvu kujizuia hasira zako kuliko kutukana na kuanza kuishi kwa wasiwasi unahisi unatafutwa alafu unakuta hakuna mtu mwenye habari na wewe
 
Mimi kama mimi siwezi kutafutwa kwasababu sijawahi kumtukana kiongozi yeyote,kutoa taarifa au maoni juu ya jambo flani sio kosa ili mradi usivunje sheria za jamhuri,Kusema sehemu flani kuna njaa na kweli ipo sio kosa,Jua ni kali kweli mazao yamekauka sehemu nyingi sana kuna hatari mbele tukapata baa la njaa.
 
Elewa somo LuisMkinga kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Apple hawatoi taarifa za wateja wao. Hivyo kuna ksugumu hapo
 
Hahahaaaaa wee mtoa mada mungu anakuona unaharibu mitego ya akina sulphur & infantry soldier
 
Siku hizi wameanzisha na Namba za Whatsap nakuambia ndio wanatumaliza Vijana hasa wale wenye 28 yrs old na kurudi nyuma!
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
Hapana mkuu usiwatishe watu waache watoe hisia zao maana katiba itawalinda wanandugu msiogope kuhusu kuikosoa serikali au bwana mkubwa ila matusi bhaaaas
 
Wengine wanatangaza viwanja na magari na vitu kwa bei ya kutupa wengine madili yamewaponza pia kutumia simu nihatari zaidi bora uende internet cafe au tumia computer
 
unamaanisha wale mabint niwapendao akina@miss natafuta na@miss chagga wanaeza kuwa wanaume wa miraba minne!lahaulaaa tumekwisha bhas!!!!
[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekwisha kabisa
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia

Sio kweli kabisa hilo, tumwagike tu humu ni freedom of speech and protected rights kwa raha zetu
 
Umeongea vitu vidogo vidogo sana vya kuwashawishi wana JF na mitandao mingine kufikiri kuwa wanaweza kuwa ndiyo wamejificha hata pale wakiwa wanatafutwa ni ngumu kupatikana na wana usalama.

Nadhani umewasaidia tu wasije wakatapeliwa na matapeli wa mtandaoni lakini kwa wana usalama kama wako serious na wewe mbona mlango wako ni kama uko wazi tu, sana sana labda ni kama umerudishia tu kuufunga lakini wanauwezo wa kuufungua na kuingia ndani mwako na kujua ndani kukoje na unafanya nini katk mtandano lakini kwa kupitia mamlaka husika kisheria.

Tahadhari.ktk mtandao usijione umejificha baadhi ya watu wenye mamlaka wanakuona unachokifunya na ndiyo maana kuna sheria na haki Kali za kumlinda mtumishi wa mtandao duniani au kimataifa.
Elimu zaidi inahitajika kwa watanzania kuhusu matumizi ya mitandao kwa sasa na sheria zake
 
Back
Top Bottom