Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Ilo.kweli, kwanini wasidukue majambazi , matapeli wanadukua alomsema rais tu? Au sijaelewa

Mkuu kila mtu anadukuliwa Ila wanaomsema Raisi ndio wanapata"kiki".Fikiria mvuvi anavua Samaki Na kilicho kwenye nyavu.
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
Umeongea vitu vidogo vidogo sana vya kuwashawishi wana JF na mitandao mingine kufikiri kuwa wanaweza kuwa ndiyo wamejificha hata pale wakiwa wanatafutwa ni ngumu kupatikana na wana usalama.

Nadhani umewasaidia tu wasije wakatapeliwa na matapeli wa mtandaoni lakini kwa wana usalama kama wako serious na wewe mbona mlango wako ni kama uko wazi tu, sana sana labda ni kama umerudishia tu kuufunga lakini wanauwezo wa kuufungua na kuingia ndani mwako na kujua ndani kukoje na unafanya nini katk mtandano lakini kwa kupitia mamlaka husika kisheria.

Tahadhari.ktk mtandao usijione umejificha baadhi ya watu wenye mamlaka wanakuona unachokifunya na ndiyo maana kuna sheria na haki Kali za kumlinda mtumishi wa mtandao duniani au kimataifa.
 
kuna mwana usalama mmoja aliwahi kusema kufanya uhalifu kwa kutumia simu hawasumbuki kukukamata, wanakukamata kirahisi sana kama mtu amkamatavyo kuku aliyejibanza kwenye kona ya mlango
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
Dah uhuru umepotea kabisa?
Ki ufupi hatuhitaji kuhofia,
Kama una hofu basi weye si raia mwema....

Chengine nchi yetu inahitaji nguvu kazi kubwa why kuanza fanga mambo ambayo hayana tija$??

First & far most katika ulimwengu wa information, lazima utatumia vifaa vya mawasiliano kwahiyo basi tayari in the first place you are vunarable....

Dunia imekuwa kijiji nikizingua napatwa dakika mbili.... si kama zamani...

Unaeza kutoroka tu mara moja sasa hivi kila kitu kipo ahead of time... tuwe huru tuwe humble tutimize wajibu
 
Hata hyo nahisi atakuwa anachota akili za watu ila nini tuache kutukana hakuna sababu
 
Sema unataka upewe njia zngne , hizo Ni za kawaida mno , kwa mtu makin huwez kumdaka hapo..!
 
Bila kusahau wale wanaokuja pm, anajidai anakupenda anakuomba namba ukikataa yeye anakupa zake eti ukamuone wsap.
Ngastuka mi namba sitoi.

Utampendaje mtu bila kumwona?? Mbona waga siwaelewi watu lakini..
 
Hapo kwenye number 6 huoni Kama yeye ndiye atakae kuwa mchochezi kwa kuwasaliti wenzake.. Kwa sababu wasizani kila mtu anaakili kama zao Abu wasitegemee kuwa hakuna watu ambao wapo tofauti nao hivyo basi wasije kuanzisha uzi humu jamiiforum wa kutaka kututega wakafikiri washiriki wataacha kuchangia
 
Pm huwa sitoi namba manake najua tayari kuna comments zangu huku za ajabu tuu...

Nikija pm labda ikute nataka jina la movie ambalo hata jukwaani naweza kulipata...
 
Na pia ukiona mtu anajifanya ni mwema kama huyu mwsnzisha maada shituka
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
Social Interaction Is Inevitable

Tutadakwa Tu[emoji119]
 
WE SEMA KU-PM NDIYO NJIA RAHISI YA KUJI EXPOSE - LAKINI KUMBUKA VILE VILE SI KILA MTU ANATUMIA WEBMAIL KWA JINA LAKE SAHIHI ANAWEZA KIJIITA ALIAS NAME - HISIPOKUWA MAKAMPUNI YANAYO HOST E-MAIL ZA WEB WANA NJIAZAO ZA KUHAKIKI JINA LAKO SAHIHI NA SIMU YAKO JUST INCASE.

LAKINI MAKAMPUNI HAYO HAYA WAJIBIKI KUTOA TAARIFA ZAKO KWA SERIKALI YOYOTE LABDA KAMA UNAJIHUSISHA KWENYE MASUALA YA UGAIDI AU KUFANYA UJINGA WA KU GOOGLE JINSI YA KUTENGENEZA MABOM AU MADAWA YA KULEVYA AU BIASHARA ZA NGONO KWA WATOTO WADOGO.

ROBOT SOFTWARE ZINAKU TAG HALAFU UNAFUATILIWA KWA KARIBU SANA, KUWENI MAKINI NA BAADHI YA TAARIFA MNAZO TAFUTA KWA KUTUMIA SEARCH ENGINES ZA MITANDAONI.

HAPA TUNAZUNGUMZIA MASHIRIKA YA KIPELELEZI/JASUSI YA HUKO MERIKANI YANATUMIA SANA MAKAMPUNI YA YENYE SEARCH ENGINES MFANO: GOOGLE, BING, CABCRAWER, ALTAVISTA NK KUFATILIA WATU WANAO TILIWA SHAKA.
 
Tunatishana tuu humu, hawatotutafuta tunaombeza Mbatizaji bali waliohatari kwa usalama wa Dangania.

Nyingine ni mbwembwe tuu tunazopeeana na kuwapa wanasiasa ya kusema.

Hivi Saa nane Ben ndo tushapuuza kupotea kwake, maana hata tisheti haziuziki na wale jamaa hawajaokota kikaratasi tena.....

Dunia Uwanja wa Fujo
 
...take it from me... you cannot hide, wakiamu kuku trackdown watakupata tu ...
Technology zina athiriana zenyewe kwa zenyewe hivyo inategemeana na mtu na ujuzi wake wa maswala ya technology na unaweza usishikwe milele kama ni mtundu kwa maana sio lazima kushikwa .
 
Back
Top Bottom