Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Kuna Mambo Yanatia Hasira Sana inakulazimu utukane tu,Kwa Mfano swala la Kukatazwa kuvaa Tshirt,Kuzungumzia Njaa,Kuzungumzia Faru John,Hukuna kufanya siasa ,Katiba kuvunjwa mchana kweupe etc

Mkuu haya tuseme umetukana
Utapata faida gani au zaidi ya kupata hasara!!!kweli inakera inauma inamaudhi tunakubaliana na wewe
Unatukana halaf whats next
Utapochkuliwa hatua sio kua waonekane wanafata sheria hapo wenzio wanakua katka msimu wa mavuno ya mazao,ndomaana utajikuta unagombaniwa kampira wakona[emoji3]
 
July 25, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania

Tanzania na China zakutanisha wadau wa Habari kujadili masuala ya Mawasiliano/Cyberspace
Waziri Edwin Ngonyani ataja mitandao mikubwa kama JamiiForums, Youtube, facebook ambazo zinaweza kutumiwa vibaya.

Tanzania itachukua ujuzi na uzoefu wa wadau toka China ili kupambana na matumizi mabaya na namna ya kuwatafuta wale wanaotumia vibaya mitandao

Source: MAELEZO TV
 
Kwa ushauri wangu bora tuanze kutumia majina ya kweli kwa wanaopenda mambo "sensitive" na JF watusaidie kuweza kuswitch hata two Usernames yaani mfano kwenye politics tutumie Jina la kweli then kwenye mambo ya mahusiano utani na mengine tutumie nyingine tukipenda.

Tukijulikana ni faida ndio kinga yetu
Kwanza tutajichunga zaidi kwenye kutotukana au kuchochea pili hata wakitaka kufanya mbinu mbaya kama umewagusa bila kuvunja sheria ( Sijaamini Tumefikia huko) watafikiria kuhusu PUBLIC lakini kwa huu utaratibu wa Majina ya uongo wakikupata watadeal na wewe na hakuna atakaejua kama ulimezwa na CHATU au SIMBA.

JF uongozi mlifikirie hili mtuwezeshe two usernames
 
Donniebrasco,
Serikali isiwe na wasiwasi na sisi citizen-journalist (wanahabari-huru) maana hata wao wameanzisha Youtube chaneli za serikali mbili MAELEZO TV na MSEMAJI MKUU WA SERIKALI TV ambayo kazi yake kubwa ni ''kutoa'' taarifa ''sahihi'' kwa wakati ili kufanya wale wengine wenye Online TV Youtube wanaotia chumvi, kuleta taarifa ''potofu'' kukosa views. Kazi kwao serikali kuwa mstari wa mbele tkutupia taarifa kwa Kiswahili na kiingereza safi ili kuvutia wasomaji na watazamaji Youtube

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA MAELEZO ONLINE TV MJINI DODOMA.

Source: MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

MAELEZO TV ambayo ni TV ya mtandaoni ya Idara ya Habari
WAZIRI MWAKYEMBE AKUKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Source: MAELEZO TV
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
kweli kabisa mkuu
 
Basic rule ya kutumia mtandao ni hii "you will never ever remain anonymous"! Hata bila kulog in. Hii na kwa ufupi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya hasara ya social media ni kwamba huwezi kujificha...kwahiyo nikujiamini tu
 
July 25, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania
Wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano wa pamoja ‘Round Table Meeting’
Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii
wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano uliofanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia issue ya matumizi ya internet.

China wapo mbali sana katika kudhibiti mitandao ya kijamii inayokosoa serikali ya China na kukosa maadili yanayokubalika katika tamaduni za China na Waziri Ngonyani anaelezea jinsi Tanzania itakavyofaidika na matumizi ''mazuri'' ya mitandao ktk maeneo ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Pia serikali kuwa na uwezo wa kujibu mara moja taarifa zinazosambazwa ktk media, kuipaka matope serikali ndani na nje ya nchi.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani amezungumza na Waandishi na kusema kuwa upo mpango wa kulinda usalama wa matumizi ya internet pindi zitakapokamilika sheria zote tatu za mitandao ambapo mtumiaji atakayetendewa vibaya mtandaoni atakuwa na uwezo wa kupata haki yake.

“Malengo yetu makubwa ni kuangalia namna gani tunahakikisha matumizi ya internet nchini kama ilivyo kwa wenzetu wa China yanakuwa salama, hayatumiki vibaya, hayatumiki kutengeneza maoni ya watu mabaya dhidi ya mtu, Serikali, Taasisi.

“Tunayatumia kwa ajili ya kujiendeleza, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa mmoja mmoja na kwa Taasisi na nchi nzima.” – Eng. Edwin Ngonyani Source: Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii – millardayo.com

Source: Millard Ayo

pale ambapo nchi yako inaamua kuuza data zako kwa ajili ya kuzi feed kwenye behavioural analysis algorithms kwa kizingizio kuwa inalinda usalama wa nchi. china juzi kati wametangaza plan ya kuwa kinara wa Artificial intelligence in particular machine learning techniques.Machine learning ili iweze solve problems inapewa data ambazo zinaweza kuwa labeled au unlabeled. Sasa wanachokifanya hawo wenzenu ni wanatafuta data za mtandaoni za watanzia ili waweze kujua mnawaza nini mnapenda nini ili watengeneze model ya "mtanzanai".Na kwakuwa viongozi hawana uelewa huo wao wamedanganywa kuwa ni kwa ajili ya ulinz.Yani wewe nchi imetengaza kutafuta kuwa kiongozi wa machine learning alf out of nowhere unampa access ya data za wananchi wako ???
 
Ukijua Ku fake IP address utawatesa sana hawa hackers,
Nothing is too complicated like coding.

thA God thA bubbs!!
 
BAK Ulishajisoma humu.. nimeona uvivu kumalizia kusoma pages zote nione kama umo tayari eeeh.. nimeishi ya kwanza tena.

Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka
 
Hao wa hivyo ndiyo wako wengi sanaaaaa. Mtu unamuona humu ni buku 7 wa kutupa halafu anataka muwe marafiki na kakuchia email address yake bila shaka ya jina fake! Eti mie ni mzuri sana halafu nina shape la kufa mtu. Nitakutumia picha yangu pia! Hahahahahahaha lol!

Bila kusahau wale wanaokuja pm, anajidai anakupenda anakuomba namba ukikataa yeye anakupa zake eti ukamuone wsap.
Ngastuka mi namba sitoi.
 
Akili za kushikiwa hizi za buku 7. Mnajua uwezo wenu wa kujenga hoja ni SIFURI sasa mmekuja na style ya kutisha watu. Una akili mbovu sana na yote haya ni kwa kuruhusu akili yako itumiwe na wengine vile watakavyo.

Eeeeh hata sikutishi.. natumaini umejisoma kwa post #1. Nitakuwa naku 😵 😀😀😀
 
Akili za kushikiwa hizi za buku 7. Mnajua uwezo wenu wa kujenga hoja ni SIFURI sasa mmekuja na style ya kutisha watu. Una akili mbovu sana na yote haya ni kwa kuruhusu akili yako itumiwe na wengine vile watakavyo.

Loooo buku 7 tena na mimi duh!!!
Ngoja nicheke tu.. sasa aliyekuandika mwingine unanijia mie juu.. naona kakugusa haswaaa kiaina fulani.. niite utakavyo mie sibadiliki nafurahia awamu hii shaaaaa

CIAO
 
Akili fupi hii mie siye wa kutishwa wewe na utaahira wako fanya ubuku 7 wako kama ulidhani utanitisha mie basi umekula wachuya utasubiri sana.

Loooo buku 7 tena na mimi duh!!!
Ngoja nicheke tu.. sasa aliyekuandika mwingine unanijia mie juu.. naona kakugusa haswaaa kiaina fulani.. niite utakavyo mie sibadiliki nafurahia awamu hii shaaaaa

CIAO
 
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
vipi kuhusu hawa wanaomba namba ya simu eti muwe mnashea aidia kwa wasapu. Inakuaje mtu humfahamu anakuomba namba ya simu mitandaoni muwe mnajadiliana mambo mbalimbali? Kuna wanaofuatilia thread au comment mwisho unaombwa namba ya simu kwa kusifiwa eti unajua kuchangia na kuchambua mijadala mitandaoni
 
Back
Top Bottom