Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Usijidanganye unyao wa kieletroninki (Electronic/digital Footprint) na Cookies zitakuanika maana hazifutiki
Godfrey Magila ni mtaalamu wa Teknolojia kwenye upande wa mitandao, amekaa kwenye Interview na Millard Ayo na kueleza urahisi wa kukamatwa kwa yeyote anaefanya kosa la kimtandao kufuatana na sheria za makosa ya kimtandaoTanzania.

Source: Millard Ayo
 
Hacker wako silent na hao ni newbie wanaotumia hizo njia..
Sitaexpose njia muhim ya sasa ila take care na smartphone yako kwa sasa ndio device wanayo target sana
Don't trust any one hata mtu wa karibu sana..
Unamaanisha kuna umuhimu wa ku encrypt simu mkuu Smokey D ?
 
Naweza kuifanikisha vipi hii mkuu

OS BlackBerry OS 10.3
RAM 3 GB
Item Weight 195 g
Product Dimensions 12.8 x 0.9 x 9 cm
Item model number Passport
Wireless communication technologies Bluetooth, WiFi Hotspot
Connectivity technologies GSM,(850/900/1800/1900 MHz),UMTS,3G,GPRS,EDGE
Special features Video Calls,GPS,Music Player,Video Player,Accelerometer,Magnetometer,Gyroscope,Ambient light sensor,E-mail,Expandable Memory: 128GB
Other camera features 13MP primary camera with optical image stabilisation, LED flash, 1080p video recording and 2MP front facing camera
Form factor Touchscreen
Weight 195 Grams
Colour Black
Battery Power Rating 3450
Whats in the box Handset, Charger and User Manual

KUNA AMBAZO NI CHEAP ZINAANZA NA AT LEAST $ 500
 
Naweza kuifanikisha vipi hii mkuu

It will take some time to get adjusted with the keyboard and once you are done you will be doing magics on this phone.

Fast processor with 3GB RAM !!!!
Display is sharp, bright and huge !!!
Awesome camera and battery !!!
Build wise there are very few phones with this sort of premium quality, a bit heavy phone. A leather case is a must.

Go ahead for purchasing if your main work on phone is not playing games.

Those who have used BB10 OS before, for them the main features to look out for in this phone are - the keyboard, camera, wide screen, long lasting battery (mine lasting for 30hours with medium use), advanced interactions work awesomely, and many more with the upcoming 10.3.1 updates.

Those who have never used BB10 OS, for you guys there is an infinite list of features, much better than other OS, dont miss this, if your main work on phone is not playing games.
 
Uko sahihi mara mia. Kwa hiyo The Bold atauwa amekusanya data za kutosha, siyo!?
 
No 4g!

Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
 
OS BlackBerry OS 10.3
RAM 3 GB
Item Weight 195 g
Product Dimensions 12.8 x 0.9 x 9 cm
Item model number Passport
Wireless communication technologies Bluetooth, WiFi Hotspot
Connectivity technologies GSM,(850/900/1800/1900 MHz),UMTS,3G,GPRS,EDGE
Special features Video Calls,GPS,Music Player,Video Player,Accelerometer,Magnetometer,Gyroscope,Ambient light sensor,E-mail,Expandable Memory: 128GB
Other camera features 13MP primary camera with optical image stabilisation, LED flash, 1080p video recording and 2MP front facing camera
Form factor Touchscreen
Weight 195 Grams
Colour Black
Battery Power Rating 3450
Whats in the box Handset, Charger and User Manual

KUNA AMBAZO NI CHEAP ZINAANZA NA AT LEAST $ 500
Noted mkuu!
 
July 25, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania
Wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano wa pamoja ‘Round Table Meeting’
Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii
wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano uliofanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia issue ya matumizi ya internet.

China wapo mbali sana katika kudhibiti mitandao ya kijamii inayokosoa serikali ya China na kukosa maadili yanayokubalika katika tamaduni za China na Waziri Ngonyani anaelezea jinsi Tanzania itakavyofaidika na matumizi ''mazuri'' ya mitandao ktk maeneo ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Pia serikali kuwa na uwezo wa kujibu mara moja taarifa zinazosambazwa ktk media, kuipaka matope serikali ndani na nje ya nchi.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani amezungumza na Waandishi na kusema kuwa upo mpango wa kulinda usalama wa matumizi ya internet pindi zitakapokamilika sheria zote tatu za mitandao ambapo mtumiaji atakayetendewa vibaya mtandaoni atakuwa na uwezo wa kupata haki yake.

“Malengo yetu makubwa ni kuangalia namna gani tunahakikisha matumizi ya internet nchini kama ilivyo kwa wenzetu wa China yanakuwa salama, hayatumiki vibaya, hayatumiki kutengeneza maoni ya watu mabaya dhidi ya mtu, Serikali, Taasisi.

“Tunayatumia kwa ajili ya kujiendeleza, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa mmoja mmoja na kwa Taasisi na nchi nzima.” – Eng. Edwin Ngonyani Source: Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii – millardayo.com

Source: Millard Ayo
 
July 25, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania

The China-Tanzania New Media Roundtable Meeting in Dar es Salaam

Tanzanian and Chinese journalists and media experts on Tuesday made exchanges over new media opportunities and challenges at a one-day forum in Tanzania's commercial capital.

The forum was jointly organized by the Cyberspace Administration of the People's Republic of China and the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports of Tanzania.

Speaking at the forum, the Deputy Minister for Works, Transport and Communication, Edwin Ngonyani, said the forum enabled the government of Tanzania to learn from Chinese experts on how they succeeded in controlling illegal use of social media.

Media experts from China and Tanzania have been meeting in Dar es Salaam to explore opportunities in technology. The one-day forum has focused on new media trends and controlling the illegal use of social media.
Source: CGTN AFRICA

He said the Chinese technology in controlling illegal use of social media could be applied in Tanzania with the major aim of maintaining culture and peace.

"Widening access to technological innovations can also expose people to risks... that is why the government is looking on better ways to respond to new media challenges," said Ngonyani.

The minister said the government was in final stages of enacting a legislation designed to fight against the increase of hacking incidents in the country.

Ngonyani said a bill to that effect was in the process of preparations before it was approved by the cabinet and be tabled in the National Assembly.

"There is a rapid increase of hacking cases in the country and with the enacting of this new law all the incidents will be controlled legally," he said.

He said under the new law, all local firms and people will be required to keep their data in for protection.

"Threats targeting mobile devices are rapidly growing, organizations should also work to applying adequate security measures to protect them or their users, putting sensitive corporate data at risk," said Ngonyani.

Ren Xianliang, deputy head of the Cyberspace Administration of China, said China has succeeded in fighting against bad use of social media and internet networks.

He also called on the both sides to strengthen media cooperation and promote friendship between the two countries.

Source: Tanzanian, Chinese media experts meet over opportunities, challenges - Xinhua | English.news.cn
 
Mchina hamuezi mbongo hata siku moja hilo halipo sichangii hoja kiushabiki
Mfano hai--NADHANI WOTE TUNAKUMBUKA SIKU WALITANGAZA KUA SIMU FEKI ZITAJIZIMA[emoji3]
Asilimia 99 zilikua sim za kichina
Swali--HII OPRESHEN ILIOFANYIKA HAPA KWETU JE ILISHAWAHI KUFANYIKA KTK NCHI YOYOTE YA AFRICA?
Hapo jiongeze na ndo ujue mbongo ni nani
Hawa china ni miongoni mwa wafanyakazi rahisi duniani(cheap labours) si sababu ati wapo wengi hapana
Hawa binaadam wanapenda saana shotcut
Anyway nisiseme saana swala la kua muangalifu ktk mitandao hilo lipo wazi bila hata mtandao malezi tu kama huna malezi ya weledi ulimi utakuponza lkn mbinu za internet mchina na mbongo hapo hadi kufa ntakataa
 
Back
Top Bottom