Ni kweli kabisa mkuu ulichosema,kuna Uzi apa ulirushwa na Dada mmoja akiomba msaada wa kutafutiwa kazi yeye ni Nurse Assistant level na anatafuta kazi mda mrefu sasa bila mafanikio akaweka picha yake pamoja na mawasiliano,nika comment kwa manufaa ya Wana-JF wenzangu kwamba wameshindwa kupata ID kwa Mello sasa mtazipeleka wenyewe,nashukuru leo britanicca umekuja na uzi namna hii,Wana-JF kuweni waangalifu.Haha kwanini wasema hivyo ipramasaa
Na watawakamata tuKweli watakamata wengi lakini ukweli utaendelea kusemwa popote iwezekanavyo na kila siku hadi kieleweke.
Jf IPO secure kutokana na database yake kutumia POST ktk security so mamlaka ya mawasiliano kuna watu wapo Kyle sio wataalamu Bali wameajiriwa kwa sababu pengine ni wazuri katika maamuzi na wana experience makazini ndo wanapewa kazi lkn kiukweli hawana ujuzi na tehama ndio maana wanashindwa kufanya udukuzi mpaka wamkamate ......ni aibu lkn
KweliKweli watakamata wengi lakini ukweli utaendelea kusemwa popote iwezekanavyo na kila siku hadi kieleweke.
HeheNi kweli kabisa mkuu ulichosema,kuna Uzi apa ulirushwa na Dada mmoja akiomba msaada wa kutafutiwa kazi yeye ni Nurse Assistant level na anatafuta kazi mda mrefu sasa bila mafanikio akaweka picha yake pamoja na mawasiliano,nika comment kwa manufaa ya Wana-JF wenzangu kwamba wameshindwa kupata ID kwa Mello sasa mtazipeleka wenyewe,nashukuru leo britanicca umekuja na uzi namna hii,Wana-JF kuweni waangalifu.
Issue hapa sio aina ys uchangiaji. Issue ni aina ya post uliyoweka. Imegusa sehemu nyeti??? Kwani wanaotafutwa ni wale waliotumia lugha za kukashifu ktk uchangiaji wa mawazo???? No. Issue ni aina ya taarifa uliyotoa mfano Yale yanayoambatana na kanusho kutoka serikalini,Yale yanayoambatana na kutaja na majina ya wauza MADAWA ya kulevya,and things of alike.Kama unafanya mema na yasiyoleta mtafaruku katika jamii, there is no need to worry.
Be wise, do things accordingly. Nobody will keep up with you. Hata kama ni kukosoa, kosoa kistaarabu.
Huwezi kufata maelekezo unayopewa kama una shida, kama mtu kasema ni PM.
Kama unafanya mema na yasiyoleta mtafaruku katika jamii, there is no need to worry.
Be wise, do things accordingly. Nobody will keep up with you. Hata kama ni kukosoa, kosoa kistaarabu.
Huwezi kufata maelekezo unayopewa kama una shida, kama mtu kasema ni PM.
Ya nini utukane alafu uishi kwa wasiwasi?Ukiamua Kukamatwa Unakamatwa Tu kama KUKU ALIYESHIKWA NA MDONDO....Cha Msingi nenda USA ndio utukane kama afanyavyo mange ukiwa TZ haupo salama labda humu JF ndio upo salama maana Maxence Kakaza.
Huyo alikuwa target wa yale mambo yetu tu.....Niliwahi kuleta tangazo la kutafuta waigizaji..Mutu ilifurika pm balaa..Hadi target nae akaingia mkenge
Kwanini walishindwa kuwadabua wahanga wao waliowataka kwa njia hizo hadi wakaamua kumsweka ndani bw. Mello? Tukubali kuwa upo ugumu kumpata mtu kirahisirahisi. Mpaka utumie ujanja wa kum"haki" na kumhadaa....take it from me... you cannot hide, wakiamu kuku trackdown watakupata tu ...