Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie

2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,

3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,

4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,

5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.

6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,

7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.

Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,

Pia. Tekinologia ilipofikia kila kifaa,unachotumia kuweka line ya Simu, watoa huduma wanajua IMEI Namba.Wanaweza fatilia taarifa zako na print mawasialiano na nambari washirika wako,na kujua mahali.Fake Ids ni kama tinded na pazia .La msingi uwe makini kuzingatia sheria na kuwa tayari kuwajibika kwa unachokiandika.

Muwe na mchana mwema

Britanicca encyclopedia
La maana uwe makini unapotoa hoja zako. Mf. Maoni ya kupinga serikali uwe makini japo upo sahihi unauma na kupuliza.
 
niliingia direct messages kumuomba msaada waziri fulani maarufu sana humu JF mpaka tuzo aliwahi pewa. Akanitumia namba nimtafute huko, MUNGU wangu! nikanasa, nikamtafuta, kilichofuata mpaka leo niko na paranoia! msaada sikupata!
kwa kipindi cha miaka mitatu huenda mpaka leo hii niko monitored kila mahali, simu yangu kuhackiwa, kurekodiwa kama unavyosema "kufwatilia simu na kuprint taarifa na watu ninaowasiliana nao" hayo yote nimepitia mpaka gmail a/c kuwa monitored (ukiingia pale kwenye device nilikuta nafwatiliwa na device mbili tofauti!)
kuja kushtuka too late niko monitored kila mahali, mtaani, kutengwa na ka***a, kufukuzwa kazi, na mambo mengine mengi yanayofanana na hayo. kuna siku nikapigiwa simu ule msimu wa uchaguzi mwaka jana, nikaulizwa nitapigwa kura au sitopiga!? Kama si Roho wa Mungu huenda ningeisha mapema!
Malaika Gabriel
 
Pole sana
 
Na bado ukaendelea kutumia device ile ile na credentials zile zile?
 
Last year Kuna bwege mmoja alishawahi kunifuata PM akawa ananimba namba za Simu eti anataka tuwasiliane

Sijui anafurahishwa na michango yangu sijui eti Nina Akili and blaaaa blaaa kibao 😁😁😁😁

Nikijitazama hizo Akili zenyewe alizokuwa anasema ninazo Binafsi najijua Sina nikaona mhhh !! Hapa Nina pangwa kmmk ili wapate kunichuna ngozi Hawa mabwege

Nikamkatalia , mbaya zaidi ilikuwa njkimkatalia Leo ana kaa baada ya siku kadhaa Anakuja kuniambia Tena , mara oohh sijui una Onekana una exposure mara ohhh inaonekana una IQ kubwa mawazo Yako huwenda yakanifaa na kunisaidia , Nilishtukia chezo kudadeki namba sikutoa

Ajabu ni kwamba baada ya wimbi la uchaguzi kupita ile I'd now days siioni Tena mamaeee
Wengi wanadakwa kwa "honey trap" ,ni hatari sana ,ukiingia kwenye 18 za ID ukajua ni demu unaenda kuchunwa ngozi.
 
niliingia direct messages kumuomba msaada waziri fulani maarufu sana humu JF mpaka tuzo aliwahi pewa. Akanitumia namba nimtafute huko, MUNGU wangu! nikanasa, nikamtafuta, kilichofuata mpaka leo niko na paranoia! msaada sikupata!
kwa kipindi cha miaka mitatu huenda mpaka leo hii niko monitored kila mahali, simu yangu kuhackiwa, kurekodiwa kama unavyosema "kufwatilia simu na kuprint taarifa na watu ninaowasiliana nao" hayo yote nimepitia mpaka gmail a/c kuwa monitored (ukiingia pale kwenye device nilikuta nafwatiliwa na device mbili tofauti!)
kuja kushtuka too late niko monitored kila mahali, mtaani, kutengwa na ka***a, kufukuzwa kazi, na mambo mengine mengi yanayofanana na hayo. kuna siku nikapigiwa simu ule msimu wa uchaguzi mwaka jana, nikaulizwa nitapigwa kura au sitopiga!? Kama si Roho wa Mungu huenda ningeisha mapema!
Dah pole sana ndugu.
 
Kwa maelezo haya si ushajulikana tayari
 
Back
Top Bottom