Haya sasa wale mliokwenye payrol ya RA njooni mkatae na huu ushahidi pia...
Mwanakijiji,
Pamoja na makala yako ndefu, i have noted wewe sio mwanasheria au unauelewa mdogo wa sheria. Mkataba wa Richmond uliandikwa kwa ufundi na utaalam wa hali ya juu. Wamiliki wa Richmond na Dowans ni watu ambao walipania kufanya wizi wa kalamu so walikua makini sana mno katika kundika documents zao na walihakikisha kila kilichopo kwenye mkataba kinawekwa kwa makusudi au kwa malengo maalum.
Pia kumbuka kwamba hawa jamaa walitumia wanasheria ambao ni wajuzi na wataalam sana na pengine ambao walikua wanajua hii issue yote so walihakikisha kwamba wanajaribu kuweka mikataba na documents vizuri kwa mtakwa yao. Kwa mfano: Kifungu hichi kuhusu assignment.
"Neither party may assign this agreement or grant any security interest, charge, lien, or other encumbrance in this Agreement other than by mutual agreement between the parties in writing"
Kwa wale wanashera wanajua maana ya matumizi ya neno MAY katika mkataba. MAY katika sheria ni neno linaloashiria UHURU au language of discretion, so pamoja na kifungu hicho bado Richmond walikua na discretion ya kuweza ku assign mkataba huo hata bila ya kuwataarifu TANESCO. So hapa utaweza ukaona kwamba ni kiasi gani hawa jamaa walikua wanaona mbali. Kisheria neno sahili lilipaswa liwe SHALL na sio MAY. Lakini kwa vile hawa jamaa walishaona mbali, waliweza kuhakikisha kwamba huu mkataba unaandikwa hivo ili nia yao ovu itimie...!
Kaka, you must read between the lines...! Indeed, hata ukiangalia issue yote hii ya Richmond utagundua kwamba watu wanaohusika, haswa wanasheria ni watu ambao ni very inteligent au ni watu wazoefu sana. So every word that was made or is made in any Richmond document or Dowans documents must be read with maximum caution.
Mwanakijiji,
Pamoja na makala yako ndefu, i have noted wewe sio mwanasheria au unauelewa mdogo wa sheria. .
you cant be serious

Pamoja na makala yako ndefu, i have noted wewe sio mwanasheria au unauelewa mdogo wa sheria. Mkataba wa Richmond uliandikwa kwa ufundi na utaalam wa hali ya juu.
.........................................................."Neither party may assign this agreement or grant any security interest, charge, lien, or other encumbrance in this Agreement other than by mutual agreement between the parties in writing"
http://legal-dictionary.thefreedictionary.com/May said:may v. a choice to act or not, or a promise of a possibility, as distinguished from "shall" which makes it imperative. 2) in statutes, and sometimes in contracts, the word "may" must be read in context to determine if it means an act is optional or mandatory, for it may be an imperative. The same careful analysis must be made of the word "shall."
Non-lawyers tend to see the word "may" and think they have a choice or are excused from complying with some statutory provision or regulation. (See: shall)
Je wewe ni mwanasheria.? Kama ni ndiyo je haya maelezo kutoka dictionary ya wanasheria ni sahihi
Sasa sijui mwanasheria mhafidhina tomtofautishe vipi na wanasheria .................
Ukisoma paragraph niliyoweka msisitizo kwa rangi ya blue basi unaweza conclude mwanakijiji anaweza kuwa layer mzuri kuliko mhafidhina anayedhani ni mwanasheria
watu kama hawa hata ukiwasahihisha hawana ujasiri wa kuja na kusema nimeelewa au nilikosea. Huchomoka kimya kimya huku wameinamisha vichwa kama wafalme vitani walionyang'anywa mataji na kuchukuliwa mateka! Kwani huja kwa mbwembe na kebehi lakini ukweli unapowamuliwa hupofushwa macho yaho.
Thanx MM
Nachukia ufisadi kwelikweli. Hivi kijana Ngeleja Mganga anafikiri nini kuhusu hili?
Ana umri mdogo, madhambi haya ni makubwa na yatakaa karne nyingi bila kufutika ataficha wapi uso wake hapo baadaye?