Jinsi nilivyowamiss

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
aaaaahhh....jamani sina hata la kuwaambieni kwa jinsi nilivyowakoseni.Natumaini kila mmoja alikuwa na sikukuu njema ya Pasaka.Toka Ijumaa kuu mpaka leo kwa mimi kuikosa JF ilikuwa ni adhabu kubwa sana...... wapendwa niliwakumbuka mno...sijui niiwekeje lakini nimegundua kuwa kila mmoja ana umuhimu wake kwangu....nawapenda sana.....xo xo xo
 
waoooooooo mkuu duh si utanii hata mimi nilimiss sana JF na watu wake duh maisha yalikuwa magumu sana bila jf jamani nilikuwa nashindwa niende wapi nikapate habari wapi nikaone mawazo ya ukweli hakika hapa ni ma great thinkers thanks uongozi kwa kutuludishia jamvi hili malidhawa.
 
uko hapa kuna dalili ya addiction ya aina fulani... maana mnachozungumzia kuwa ni "kumiss" kimsingi ni withdrawal symptoms za JF.. inabidi muanzisha kikundi cha JFA - JamiiForums Anonymous...
 
Kama vile siamini kwamba jf imerudi, maana nimekuwa nikiijaribu kila siku mara 20 bila mafanikio.
Sikuwa na raha bila jf. Pasaka ilikuwa boring sana hasa kwa wale wasioshika ze lager. Ama kweli jf ni kiboko.
Asane invisible na crew wote wa jf. Tunaweza kuiona kazi yenu. Mungu awabariki
 
We miss u 2 preta.....dont worry Boflo is with u............life is back
 
kwa kweli ilikuwa ni km family yote imeondoka home halafu nimebaki peke yangu kwa upweke, ilikuwa tabu mno, dah mungu mkubwa, naona hii ni family moja kubwa sana yenye interest na jf
 
Siku nyingine mkifanya matengenezo mfanye wakati ule watu wako busy. like karibu na annual reports or s/thng lyk dat..
otherwise, i'v missed u guys a lot!
Barakaz...
 
Siku nyingine mkifanya matengenezo mfanye wakati ule watu wako busy. like karibu na annual reports or s/thng lyk dat..
otherwise, i'v missed u guys a lot!
Barakaz...

can you imagine...a housegirl like me, after finishing my chores?
Missed you Compaq
 
aaaaahhh....jamani sina hata la kuwaambieni kwa jinsi nilivyowakoseni.Natumaini kila mmoja alikuwa na sikukuu njema ya Pasaka.Toka Ijumaa kuu mpaka leo kwa mimi kuikosa JF ilikuwa ni adhabu kubwa sana...... wapendwa niliwakumbuka mno...sijui niiwekeje lakini nimegundua kuwa kila mmoja ana umuhimu wake kwangu....nawapenda sana.....xo xo xo

Na mie nakupenda sana, nilikumiss kweli
 
ama kwa hakika, zimwi likujualo halikuli likakwisha. JF ni kama zimwi, pamoja na kutuchukulia masaa yetu mengi, asubuhi, mchana, jioni na usiku wakati mwingine lakini bado tulilitamani na kuli miss kipindi hiki cha mabadiliko. I missed every member here. Am glad we are united again. C'mon, Lets talk.
 
Hi Mundu....missed you too
 
Mwanzoni nilifikiri nimefungiwa but nimepata moyo kwa kurudi kwenu. Nadhani kama ni pombe me nshakuwa addicted na huu ulevi wa JF. Imetulia!
 
Mwanzoni nilifikiri nimefungiwa but nimepata moyo kwa kurudi kwenu. Nadhani kama ni pombe me nshakuwa addicted na huu ulevi wa JF. Imetulia!

mi ndio kama teja kabisa...lakini tupo pamoja, nice to see you guys again
 
Back
Top Bottom