Jinsi nilivyowamiss

Jinsi nilivyowamiss

jamani hivi tuko Bungeni au wapi

Preta mrembo na mie nilikumiss sana hivo hiyo picha ndo mzee alikuwa anakufanyia massage

niliwamiss watu wote wa JF ..wapi Companero ?
 
jamani hivi tuko Bungeni au wapi

Preta mrembo na mie nilikumiss sana hivo hiyo picha ndo mzee alikuwa anakufanyia massage

niliwamiss watu wote wa JF ..wapi Companero ?

ndio my dia..hapo ilikuwa kijijini Yaeda...hilo wese unaona linang'aa hapo ni la nyanyi...aaah home swt home...nina zawadi zenu mjue

ndio my dia..hapo ilikuwa kijijini Yaeda...hilo wese unaona linang'aa hapo ni la nyanyi...aaah home swt home...nina zawadi zenu mjue

hahahaha safi sana mwambie mzee na mie naomba nafasi mala moja ya kufanyiwa massage na vitu asilia kweli home sweet home
 
mi ndio kama teja kabisa...lakini tupo pamoja, nice to see you guys again

Pole Preta,

Hapo ndo JF inaponimaliza. Wahanga tuko wengi ingawa pia kuna wakati zinajitokeza speed governor bila kutegemea! Mimi niliwamiss wote na Pasaka yangu haikukamilika kwa sababu hiyo. Mungu ni mwema, naamini kila kitu kitakuwa poa sana!
 
Mabinamu kuna mmasai mmoja anaitwa Handsome kiswahili yake imepindapinda kama kona za barabara kama sikosei nimegundua nammiss sana hivi yuko wapi thijui amenipuliziaLimbwata iweje leo namtafuta mie

mkimuona mwambieni ani-PM
 
na la kimasai sio rahisi kukutoka...ooohhooo
 
Am I dreaming or its real??

Preta, yaani naona kama mwaka hivi tangu nilipokuwa humu ndani mara ya mwisho......
 
nahitaji muda kuizoea hii jf mpya!naona kama sio yenyewe,lakini nitazoea tu😀
 
mie nilizani kwanza nimefungiwa nikajiuliza kosa langu lipi hasa hadi nikafungiwa??? baadae nikadhani link yetu iko down lakini nifungua website nyingine zinafunguka kweli nimeamini bila kuingia JF kwa siku moja ni ugonjwa
 
nahitaji muda kuizoea hii jf mpya!naona kama sio yenyewe,lakini nitazoea tu😀

same here mpwaz
nimekuwa mzito, ila baada ya muda tutakuwa even tu sio issue
missed you mpwaz
 
Finaly its back!! Missing you too Guys! nilikua naperuzi kwenye net kutafuta kama kuna forums nyingine lakini wapi!! niliishia kwenye blogs za umbea tu teh teh teh
 
Finaly its back!! Missing you too Guys! nilikua naperuzi kwenye net kutafuta kama kuna forums nyingine lakini wapi!! niliishia kwenye blogs za umbea tu teh teh teh

MEKU bana mimi inanishinda ngoja niende kwanza labda hii mbongo itadigest changes nikirudi.
 
Mabinamu hii kitu hata mie inanipa tabu yaani naona maajabu tupu labda baada ya muda tutakuwa sawa sawa
 
Jamani mi mtanisamehe, hii kwakweli naona kama inanishinda vile.
Nimeimiss old JF.
Ile ndo inatufaa wazee wa hangover.
Samahani kama nimewakwaza.
 
MEKU bana mimi inanishinda ngoja niende kwanza labda hii mbongo itadigest changes nikirudi.
ha ha ha utazoea tu 'kipya hakinyemi ingawa kidonda" he he he TUKI hiyo!!
 
Oyaaaaaaaaaaaaaa...mambo vp mtu wangu?Mie nilikumiss weye kweeeeli, maana umekuja kivyengine kabisa, naona umeamua kuweka picha yako live!...Du, uko juu kama mu-ASHOCK au kishada besti yangu!To all members, I MISSED YOU BADLY...LUV TO YOU ALL BRODAS AND SISTOS!
 
Back
Top Bottom