Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Wakuu Habari ya Muda huu nimekuja na mada hii lengo ni kupeana ushauri jinsi ya kupambana na bosi mkorofi.
Naanza mimi nipo chini ya bosi mmoja hivi ufanyaji wetu wa kazi huanzia Jumatatu mpaka Ijumaa jioni lakini kuna siku kazi zikitokea hadi Jumamosi majira alasiri tunakuwa tumetoka, sasa baada ya kutoka bosi huwa anataka tutoke twende mtaani tukapige stories na bia mbili tatu ni kama namna ya kuenjoy kazi yetu.
Shida inakuja akipiga vyombo tu vikamnasa anakuwa mkali saana kwangu pengine hata na kwa wengine, juu yangu anakuwa mkali mkorofi anaongea maneno ambayo namna moja ama yingine unaweza kudhani lada tuna ugomvi.
Kuna siku tulipokuwa wazima hii sasa ilikuwa ni Jumatatu nilimuuliza as a bro sasa kwamb kaka ukipiga bia unanifokea sana ni kama unaona huyu ndo nammudu so hasira zangu namalizia kwa huyu huyu ni kwanini?
Akajibu nisamehe mdogo wangu ni pombe please ya twende pombe tusiyalete kwenye maisha ya uhalisia, basi tukawa tumemaliza kwa namna hiyo.
Sasa bhna juzi tena karudia mchezo huo huo kanywa kaanza kuleta maneno mi nikamwambia inabidi sasa tuwe tunatoka kila mtu na kampani yake tu, tukitoka mimi na wewe inakuwa tatizo, mimi ni mfanyakazi wako siku utaongea neno baya nitachukia ntakukosea heshima mwisho nipoteze kazi.
Akasema dogo nisamehe sana kweli nakuonea basi ikaisha hivo, mimi sio muongeaji na pia sina tabia za ugomvi kabisa lakini kama binadamu nikiudhiwa nakasirika.
Sasa wakuu tupeane mbinu zaidi za kudili na hawa mabosi wa aina hii, nawasilisha.