Jinsi nilivyowamiss

Jamani mi mtanisamehe, hii kwakweli naona kama inanishinda vile.
Nimeimiss old JF.
Ile ndo inatufaa wazee wa hangover.
Samahani kama nimewakwaza.
Hommie itabidi tuzoee tu ndo ilishabadilishwa ivyoo!! ukumbuke kubadili Font kabla ya kupest!! Yaani hangover na font hizi tutasoma ndivyo sivyo!!
 
Oyaaaaaaaaaaaaaa...mambo vp mtu wangu?Mie nilikumiss weye kweeeeli, maana umekuja kivyengine kabisa, naona umeamua kuweka picha yako live!...Du, uko juu kama mu-ASHOCK au kishada besti yangu!To all members, I MISSED YOU BADLY...LUV TO YOU ALL BRODAS AND SISTOS!

wacha weeeee...he he he....si nilikuaga naenda Yaeda lakini?
 
thanx kw kutumiss...
binafsi nakushukuru kw pasaka kupita salama....,
na nina imani na wana JF wote walisherehekea salama sikukuu ya pasaka!
iliyobaki sasa ni kuleta mabadiliko ktk nchi yetu!
 
Nyamayao, I am glad you are back. Frankly speaking nilikumiss sana.
Wana JF wote pia nilimiss michango yenu na hasa vichekesho.
Preta, how was home? we missed you too.

it was cul Fixed....had a lot of fresh at home this time....have some left if you want
 
SASA SAFI.

Wadau mimi japo mgeni humu ndani lakini nimegundua ukishaizoea hii Forum basi ikipita siku moja unakua kama umekula chakula kikavu halafu ukakosa maji. Hata ukilala unahisi kunakitu kimekaa vibaya ukija tahamaki unagundua hujapita ndani ya Forum. MTIHANI.
 
Bwana we acha tu hata mie nilikuwa kama mgonjwa vile kwa kuwamis raia wa jf.but hope wote wako poa.
 
Bwana we acha tu hata mie nilikuwa kama mgonjwa vile kwa kuwamis raia wa jf.but hope wote wako poa.

tuko poa wote japo baadhi mpaka sasa tokea uzinduzi ufanyike hatujawaona........ila tunavuta subra labda bado wapo mapumziko ya pasaka
 
uko hapa kuna dalili ya addiction ya aina fulani... maana mnachozungumzia kuwa ni "kumiss" kimsingi ni withdrawal symptoms za JF.. inabidi muanzisha kikundi cha JFA - JamiiForums Anonymous...

Hii addiction ni mbaya kuliko ya bia, sigara, madawa ya kulevya na kadhalika. Thanx god it started in phases mwanzoni ilisema we will be back in five minutes, then two days, then our team is working hard then here it is. Ingekuwa kukatika moja kwa moja ingekuwa balaa.
 
Back
Top Bottom