- Thread starter
- #181
Haya yatakuwa ya kanda maalumuWambura, nyafuru, nyamumi, nyasato ndio majina bomba
weka mbali na watoto mkuu kiboksi manyoya
Haya yatakuwa ya kanda maalumuWambura, nyafuru, nyamumi, nyasato ndio majina bomba
muite.papuchi
Ongezea na..basi muite majina ambayo yapo kote kote
majina haya yapo kwa waislam na wakristo
Sabrina
Natasha
Jemima
Sophia
Sarah
Mariam
Rehema
Neema
Unaweza pia kumuita majina ya kiswahili yenye maana nzuri
Wema
Jema
Mwanakheri
Zawadi
Furaha
Bahati
Mboni
Bila shaka atakuwa shemDah fahima..[emoji178] [emoji178] [emoji178]
mimi najaribu kuliepuka hilo ndo sababu nimeona inapendeza kupata mawazo mabli mbali kutoka kwa wadauMajina ya wanangu ayaendani na wao walivyo watu wananiambia ivyo kisa wana majina ya asili
Ni wakala wa tigo? kufanya kazi mtandao mkubwa kama huo si habakuna sheila namjua anagawa tigo vibaya anavuta masigara na mipombe sana sina hamu na sheila au shela tena
hili kwa binti yangu hapanaChausiku hili halibagui dini
Asante mkuu, kwa ufahamu nilionao tunatumia uislamu kuyatambua kwa sababu uislamu wenyewe umeanzia huko kwa waarabu na ndiyo sababu tunayaita ya kiislamu. Laiti uislamu ungeanzia Afrika bila shaka yangeitwa hivyo hivyo.Majina ya kiarabu si ya kiislamu..uislamu hauna majina!!
MuiteAsante mkuu, kwa ufahamu nilionao tunatumia uislamu kuyatambua kwa sababu uislamu wenyewe umeanzia huko kwa waarabu na ndiyo sababu tunayaita ya kiislamu. Laiti uislamu ungeanzia Afrika bila shaka yangeitwa hivyo hivyo.