[emoji2] [emoji2] jf buana.Muite FARU KHADIJA
Hili hapana mkuuChaupele
Thubutuuuuuuuuuu...........Maputo
Nyanguge
Nyabulangeti
Nieto
Kono
Chaupele
Masozi
Kavi
Tipula
Ngogo
Tufe
Njugu
Ngudu
Karibu Mwanza
Mpe hili TamrinaHabari wakuu
Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.
Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.
Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana
Karibuni
Hili geni kabisa kwangu lakini ni jina zuri, hebu njoja no google maana yake mkuu @madencMpe hili Tamrina
Mpe hilo i like it.....Hili geni kabisa kwangu lakini ni jina zuri, hebu njoja no google maana yake mkuu @madenc
Asante sana
Mbona majina yenyewe ya kiarabu haya?Buthaina
Hajra
Jamila
Shamila
Sabah
Alyah
Latifa
Rujaina
Mwite majina haya:-Habari wakuu
Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.
Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.
Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana
Karibuni
Warda-RoseBado sijafanya maamuzi mkuu
bahati nzuri ni kuwa mtoto mwenyewe bado hajazaliwa kwa hiyo kuna fursa zaidi ya kuendelea kupendekeza zaidi
naamini kupitia uzi huu, unaweza kuwasaidia wengine wenye nia ya kuchagua majina ya watoto wao
kwa hiyo fursa bado ipo mkuu, pendekeza zaidi, unaweza kuboresha kwa kutoa maana ya jina na either sababu ya kulipendekeza nadhani itakua imekaa vizuri sana