Jina zuri la mtoto wa kike

Jina zuri la mtoto wa kike

Habari wakuu

Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.

Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.

Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana

Karibuni
Feedback umempa jina gani.?koz naona majina yametolewa zaidi za 20 hapa.! Bado hujaona la kumfaa mtoto
 
Feedback umempa jina gani.?koz naona majina yametolewa zaidi za 20 hapa.! Bado hujaona la kumfaa mtoto
Bado sijafanya maamuzi mkuu
bahati nzuri ni kuwa mtoto mwenyewe bado hajazaliwa kwa hiyo kuna fursa zaidi ya kuendelea kupendekeza zaidi

naamini kupitia uzi huu, unaweza kuwasaidia wengine wenye nia ya kuchagua majina ya watoto wao

kwa hiyo fursa bado ipo mkuu, pendekeza zaidi, unaweza kuboresha kwa kutoa maana ya jina na either sababu ya kulipendekeza nadhani itakua imekaa vizuri sana
 
"Tulipa mwinga". Mkuu
__________________________________
meaning "tupo pamoja"
 
Una familia mke na watoto wawili wakwanza wa kiume wapili wakike... Hongera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom