Jina zuri la mtoto wa kike

Jina zuri la mtoto wa kike

Dunia imebadilika sio wakat wa kuita watoto kulingana na matukio yanayotokea kipnd cha mtoto anazaliwa...mfano shida ,tabu,mwanjaa,majuto n.k....
 
Asante johnsonmgaya
Linamaana gani hili jina mkuu?
Naweza muita pia maana mzazi mwenzangu siyo Muislam

basi muite majina ambayo yapo kote kote
majina haya yapo kwa waislam na wakristo

Sabrina
Natasha
Jemima
Sophia
Sarah
Mariam
Rehema
Neema

Unaweza pia kumuita majina ya kiswahili yenye maana nzuri
Wema
Jema
Mwanakheri
Zawadi
Furaha
Bahati
Mboni
 
In shaa Allah mie wanangu nitawapa majina mazuri kama Mungu ataniruzuku

Uko sahihi mkuu, nashukuru kwa mchango wako pia na ndiyo sababu iliyopelekea kuwashirikisha wana MMU ili nipate kupanua mawazo zaidi maana ni kweli zama hizi hali ni tofauti na zamani
 
Muite Janeth kwa heshima ya first lady wetu.. Sema namba tunazisoma kweli kweli sijui mama yetu kashindwa kutuombea kwa mzee alegeze hata kidogo!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
BILQIS ni jina zuri tena kwa case yako linafit kabisa

Bilqis alikuwa malkia wa Ethiopia
yule alieenda kwa mfalme Suleiman na dhahabu
Suleiman akamfanyia ujanja wa kuweka dhahabu barabarani
akaishiwa kuolewa na Suleiman
 
Naamini kila jina huwa na maana ni vizuri wakuambie na maana ya majina hayo
 
jina Mara nyingi hubadili Tabia ya mtoto , anyway MPE

√Heaven
√Nailat
√Naimah
√Sashah
√Batuly ; napenda hili jina
√Asia
 
Naamini kila jina huwa na maana ni vizuri wakuambie na maana ya majina hayo

Umenena vyema mkuu masara
Niliomba kama nitapata na maana inapendeza sana lakini pia naweza kutafuta maana mwenywe kwa yale nitkayoona yanapendeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom