Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Mwajuma, mwanahawa, mwanaidi ama Mwashipumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwajuma, mwanahawa, mwanaidi ama Mwashipumbu
Ningekuwa muislam, nikipata mtoto wa kike namuita hilo la tatu hapo yaani "SAMIAH"Junaithar
Johari
Samiah
Nawaal
Yusra wote vichululuu vyao vidoogo afu vikavuu na vitamu.Yusra
NaulahJunaithar
Johari
Samiah
Nawaal
Tusaidie na kabila ili tukusaidie kulingana.na majina ya kabila lako
Kuna majina ukimuita mwanao yanaharibu tabia yake
lakini mkuu pia usisahau kumpa na jina la kibantu. yani yale majina yetu ya asili pia. kwa hyo awe na majina mawili.
ahahaaaJasmine
Hijrat
Umefurahi baby?ahahaaa