Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,820
- 40,605
wengi wenye majina hayo wanakuwaga vichecheMwite Sheila au Najma. Nayapenda haya majina mweeh
wengi wenye majina hayo wanakuwaga vichecheMwite Sheila au Najma. Nayapenda haya majina mweeh
Sisi hatuthamini kabisa asili yetu.Wanaochekesha ni wale wanaovamia nick names ambazo hajui full names
unakuta mdada anaitwa Candy.....unamuuliza wewe ni Candida? anakushangaa..
na majina mengine hata huko tunakoiga hayapo...mdada anaitwa Nice..au Verynice....
Sisi hatuthamini kabisa asili yetu.
Hivi ushakutana na wadada ambao hawawezi kabisa kuongea Kiswahili mwanzo mwisho bila kuchanganya na Kiingereza?
Ingia kwenye mtandao mkuu.Google "Islamic names and their meanings." Utapata majina mengi tu,chagua unalolitaka.Habari wakuu
Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.
Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.
Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana
Karibuni
BASTWINAButhaina
Hajra
Jamila
Shamila
Sabah
Alyah
Latifa
Rujaina
Petra limekaa Kikristo na kwa mwanaume ni Petro/Peter,uyahudini wanamwita Kefa!Muite PETRA maana yake MWAMBA. jina la KIJERUMANI hili.
JannetteLeyla
Wambura, nyafuru, nyamumi, nyasato ndio majina bombaLeyla