Jina lako kamili ni nani?

Jina lako kamili ni nani?

1. Ngedere Kafulila
2. Frederick Mwizi werema,
3. Bernard Joka la mdimu Membe,....
4....
 
Naitwa Paul Rusesabagina , haya peleka TISS hilo jina kama ndio unalolitafuta
 
Ndiyo maana ya jf,ila kwa kuwa umetaka mimi ni AKASOMBO DAM.
 
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani?

Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
Mi naitwa NIMELABUKA SITONGOZEKI mtaani kwetu wananiita SITONGO na Jf najulikana km cute Datty upo hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom